letra de wachuja nafaka - wachuja nafaka
wachuja nafaka – wachuja nafaka
…
[intro: kr mullah & wachuja nafaka]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
ujio tunaokuja’ haki ya mungu mtadata
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
mwendo tunaokuja’ haki ya mungu mtajisaka
na hivi ndivyo visa vya kr (eeh!)
na hivi ndivyo visa vya d- chief (aah!)
na hivi ndivyo visa vya nature (eeh!)
na hivi ndivyo visa vya dollo (aah!)
na hivi ndivyo visa vya khalfan (eeh!)
[verse 1: kr mullah]
niite kr’ mzee wa kw-ngu kwako tano
haina mfano, “tariro”
nipige nikupige’ ole wako uige
nyendo za masela hatuf-gilii jela’ labda hela
huamini muulize said fella
picha linaanza stelingi wa kike anakufa kwenye maua
leo tupo hapa hapa’ kwa ajili ya wale watu wote wanaojishaua
ni watu wa kula shazi, bazazi tuna mwaga radhi
kanuni yetu ni ile ile baba,hatutaki leo korosho
porojo, mpe mkojo
muongeze,muongeze akija mkoleze
(?) wa mwituni utamaduni
hatukuchapi kwa fimbo’ tunakuchapa kwa kuni
hizi ndo kanuni zetu toka ‘awali
watu wa ugali’ sasa’ kaa mbali na hizi sura
dollo,nature, kr mulla
khalfani nyonga vitu–mwaga ma vitu
watu wajidai’ masharabahi
ebo! utaniudhi…
[beat suddenly stops and continues…]
[chorus: juma nature & wachuja nafaka]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wa-wachuja nafaka,( kw-ngu kwako tano!)
wa-wachuja nafaka, ( (?) na mfano!)
wa-wachuja nafaka,(mkali huu mpambano!)
wa-wachuja nafaka,(mpaka unatadata!)
[verse 2: dollo]
(?)
p funk khalfani
mabingwa wa ku (?) kutoa nishai
kw-ngu’ kwako
kw-ngu’ kwako, tano!
pasipo mfano’ kusema mtasema lakini mwisho wake mtachoka
wachuja nafaka’ moto ndo unawaka
hii homa mtawaza, mtaishia, mtajikaza
watu wa kale’ toka mishale…r!
watu wa kale toka mishale
chochea kuni (?) mziki wa chang’aa
dollo, sir naturе, kr’ mijitu ya ku(?) he he! vagaranti viwanja vya kati
nywelе za ki-somali, kwa ajili ya pombe kali
kimpumu, konyagi mwitu’
zote zinapatikana hapa hapa
kwa mama muuza…
[girl moaning: “you make me feel so good…]
[chorus: juma nature & wachuja nafaka]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wa-wachuja nafaka,( kw-ngu kwako tano!)
wa-wachuja nafaka, ( (?) na mfano!)
wa-wachuja nafaka,(mkali huu mpambano!)
wa-wachuja nafaka,(mpaka unatadata!)
[verse 3: juma nature]
” ting-ting-ting-ti-li
kating-ting-ting-inya”
ting-ting-ting-ti-li
kating-ting-ting-inya”
ting-ting-ting-ti-li
kating-ting-ting-inya”
“ting-ting-ting-ti-li
kating-ting-ting-inya”
nani kamfinya?
michael king (?) ‘ mzee wa mojamoja mwendo “mchurundu-ndu”
a.k.a. mif-ko haina kitu-tu
soggy di doggy doh
hana hana hana hana hana hana hana dough
mnataka kututokomeza ‘tu bado
hivi nyie waheshimiwa vikao vyenu mbona ha vijatuwakilisha?
au kwa kuwa sisi vijana ndo mnaghahirisha?
au bado mnaleta zile zenu za kututisha?
wachuja nafaka’ muelewe ndo wenye (?)
kw-ngu’ kwako tano!
hiii..! pasipo mfano
naona hii hali sasa inaleta mapigano
we uza pipi (?) njungu (?) uwe sugu
na hapo ukiangalia watu wa porini’ wana machungu
(?) bandugu wana mwomba mungu
kr, d-chief,dollo’ ka temeke ugoro
unga ghetto umekwisha’ tunatoa kiporo
sioni kama kuna bwege ambaye atatoa kasoro
hebu mpe tano
…”k-m-k-m!” utaniudhi
bana we, sasa tumeghahiri’ na wala hatupendi k-mfatilia wakili
tunayaacha kama yalivyo>> hivyo hivyo
sisi ngano tu (fujo tu!)
na’ tukishalewa tu (fujo tu!)
tuki-approach demu,akikataa…!
tunaongeza (?) kidogo tu ili awe sawa
haina (?) sana (?) mtoto…mkufunzi!
sasa k-mbe ninyi mtaniudhi
[guys cheering]
[girl moaning:]
[chorus: juma nature]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wa-wachuja nafaka,( kw-ngu kwako tano!)
wa-wachuja nafaka, ( pasi kuwa na mfano!)
wa-wachuja nafaka,(mkali huu mpambano!)
wa-wachuja nafaka,(mpaka unadata!)
[instrumental]
letras aleatórias
- letra de vampire lord - killah priest
- letra de tragedy - nightmare da unholy priest
- letra de квадрат (square) - утро (utro)
- letra de fuck royal t - mr. knightowl
- letra de με ποιο αντάλλαγμα (me pio antallagma) - katy garbi
- letra de wood warrior - grlj
- letra de mr. witherspoon's friday night - 1994 studio cast of lucky stiff
- letra de vingla fram genom stan - lasse lindh
- letra de let the bodies hit the floor - 607
- letra de say something - charlie winston