letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mapato - wachuja nafaka

Loading...

mapato ft bamboo – wachuja nafaka

[chorus: juma nature]
tunafanya kazi inayoonekana
lakini oh wapi’ faida haijaonekana
tunafanya kazi inayoonekana
lakini oh wapi’ faida haijaonekana

[verse 1: abbas]
asiyefunzwa na mamae’ atafunzwa na mimi
vunjwa (uh-huh) na kuundwa na mimi
ku chungwa’ ka umefungwa lakini
round hii mcs wanaf-kuzwa na mimi
ka umeroga na raia hawajafurahia si we ni ghasia? na unajipandisia?
sasa basi nipe nafasi’ kiasi tu sivaangi rasi lakini kazi ni kazi tu
ngoma na zi do’ safi ju watu wana ulafi
na nisipofanya kazi’ si basi nitakula makhwe
mng’aro skuizi uw-nga ni fundi na eko bana
na si mgechanga mapesa nisaidieko bhana
kama mrembo iko ah basi matembo ziko
kwanza ni mchanganyiko’ hakuna mabadiliko
simu inalia’ ka ni vipi sema sipo ( ring ) kama ni yule mwingine basi ntasema nipo’ na ile hali niko’ niyakuuliza watu nani mnoma kuniliko
kuleni hiyo
jhoo p
( conversation )

[chorus: juma nature]
tunafanya kazi inayoonekana lakini oh wapi’ faida haijaonekana
tunafanya kazi inayoonekana lakini oh wapi’ faida haijaonekana

( whistling )

[verse 2: juma nature]
kazi ni kazi tu
hata kusuk-ma mavi’ safi tu
kwani kuna tabu gani? ah
bamboo, nature eh fulu (?)
unaionaje hii? asubuhi asubuhi mtu hujanawa uso
chai hujaona
huj-piga mswaki
ukitoka nduki kufaidi (?) kwa chuki
bafuni kukosafi, jikoni kukosafi, mfanyakazi kashapiga deki
lakini bosi anamwona hajafanya kazi’ basi tabu tupu
kikono mtindo mmoja, kutembelea mkongoja
ni “t-zed” na kenya’ ndo lyrics zinapenya
ni p-funk’,khalfani
ni kazi sio utani
ukweli sie tunao’ kueleza hao hao wenye fitna zao
wasione mtu umepata watakufanyia limbwata
mpaka mtu utadata’ ganja ah
[chorus: juma nature]
tunafanya kazi’ inayoonekana lakini oh wapi faida haijaonekana
tunafanya kazi’ inayoonekana lakini oh wapi faida haijaonekana

[verse 3: bamboo]
this is the lethal nairoberry sequel
which (?) people, lyricists usually try to equal
after djs connect they vinyl with the needle
cats be filled with jealous, fellas be filled with evil
i do it for the love of the streets and for the people
keep it peaceful’ but use the weapon when its lethal
i keep it real’ alright sometimes i keep it ill (uh-huh)
jump in the jeep and chill’ puffin on the reefer til the sounds from the speakers fill the streets with these hardcore beats
you can’t sleep’ when i speak i use a unique technique
that you’ll probably understand next week (?)
nevertheless, i bring the ghetto the best
combination of word play (?)
pressure the rest, never detest or come against’ the nemesis
chasin wack rappers off of the premises
imma survivor, you just a conniver
get punched to the lips’ blood be mixed with saliva
i’d rather dismiss you than hit you
doctors have to fix you up and stitch you, the tissue
but that’s not the issue
and that’s not even the issue
yow,that’s not the issue (uh that’s not the issue)
(guys laughing)

[chorus]
tunafanya kazi’ inayoonekana lakini oh wapi faida haijaonekana
tunafanya kazi’ inayoonekana
lakini oh wapi faida haijaonekana

( whistling )

[chorus]
tunafanya kazi’ inayoonekana lakinj oh wapi faida haijaonekana
tunafanya kazi’ inayoonekana lakini oh wapi faida haijaonekana

( vinyl scratching: “there is no competition”)

tunafanya kazi’ inayoonekana lakini oh wapi! faida haijaonekana

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...