letra de salama - volvoh
volvoh for jc…..
kreptonate production…
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali, kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
wengine wakichiti
kwako niko fiti
nikusifu na mziki, nisijali za makiki
hata mziki uje uhiti
na kibiri kisizidi
nik-mbushe zangu dhiki
kwako nisipotee
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
letras aleatórias
- letra de endless - kraiox
- letra de two bitches dead on the floor - bad45
- letra de rysiekriedel - vbs
- letra de round & round - kxmikaze
- letra de hide and seek - kwon jin ah
- letra de of whatever - jared evan
- letra de make me care - lucas hamming
- letra de dejame - fckn summer
- letra de confused - hardo
- letra de blue moon - arkh zeus