letra de saba saba - volvexzshawa
your honor nak-mbuka vizuri ilikuwa tarehe saba ,mwezi wa saba ,siku za saba saba .na pilka pilka zangu ,nikapatana na msupa atoti amechora saba , alikuwa amevaliya koti, na ndani ya koti kulikuwa na noti and that’s why saizi tuko case ndani ya hii koti .mwakilishi waradanisha? je wasikilizaji waradanisha? otherwise tuendele….so nikagota msupa atoti nikamuliza na atoti huko na matress kwako sema form .kando kando ni ready njugu kilo tatu na mokobero .miti miti (wikendi choke me baby ,monday case number 47 k-mbe alikuwa under 18 and that’s why your honor niko here , waradanisha!
hook ; shgri ben shgri ben ,saba saba cheza saba ,saba saba yoo ,cheza saba (x2)
na mzee okwonko kwani twezi fanya colabo,nimebeba paka tambla na kando kando nina sponyo master zungwen siki ch-nkuu tunabonga jingwen,yani ki belijin okwonko waradanisha!
hook ; shgri ben shgri ben, saba saba cheza saba, saba yoo, cheza saba (x2)
sipendi wanasiasa juu wakitaka kura,wana mwok na bandula za noti ,etii jеnga mama boi chwani ,ongeza binti halima ,chwani tena chwani chwani kwa fatuma na baba okelo washo na wajali maеndeleo hipo ,wakisha apishwa
ongeza bei ya unga ,ongeza bei ya mafuta weka double double ata ya kibiriti zile pesa za campaign lazima tuzirudishe kwenye benki zetu
hook ; shgri ben shgri ben, saba saba cheza saba saba saba yoo, cheza saba (x2)
you might also like
letras aleatórias
- letra de marmalade (demo) - system of a down
- letra de shirts and skins - helot revolt
- letra de 이름 (your name) - choi yu ree (최유리)
- letra de феникс (phoenix) - first religion
- letra de i'll sing one for you - string driven thing
- letra de 땡땡땡 (dang dang dang) - various artists
- letra de airplane - jero (kor)
- letra de me and me - abser
- letra de serce - neonek (pl)
- letra de my star - arthur somervell