letra de simpo simpo - vivian kenya
[vivan]
mavo on the beat
mwanzo nilikuona
picha yako ilipostiwa kwenye twitter nikatamani
ah vivian, ah vivian
nilijua huwezi amini
nikajiuliza nitafanya vipi uwe na mimi
iwapo si kawaida
na sasa ni k-moto moto
mi ndo wako mtoto toto
ninacho hisi ni rojo rojo
napenda zako simpo simpo
uko simpo, napenda njaro zako simpo
[stivo]
ndio maanake
[vivan]
uko simpo, napenda njaro zako simpo
[stivo]
ndio maanake
[vivan]
na sasa ni k-moto
mi ndo wako mtoto
[stivo]
ndo maanake
ninacho hisi ni rojo
napenda zako simpo simpo
[stivo]
sweet heart njoo karibu nami
nikupe penzi kwako nipige kambi
mimi nakuenzi bila we sijiwezi
mapenzi si watatu bali ni ya wawili
ukiwa mbali mpenzi nadondokwa na machozi
usinipe headache usinipe heart breaki
njoo kw-ngi maa unipe ma lovey dovey
wewe ni dakitari njoo unitibu nisipate maumivu
w-ngu tabibu kw-ngu ushaafika nakwambia karibu
njoo kw-ngu maa nikushike taratibu bila aibu
ndo maanake
[vivan]
uko simpo, napenda njaro zako simpo
[stivo]
ndio maanake
[vivan]
uko simpo, napenda njaro zako simpo
[stivo]
ndio maanake
[vivan]
na sasa ni k-moto
mi ndo wako mtoto
[stivo]
ndo maanake
ninacho hisi ni rojo
napеnda zako simpo simpo
mashaa beating anytime unadai
nimekukufia na siwеzi kufuf-ka
nipe vitu, mahaba, venye unafanya ninafeel si kawaida
burn calories, burn calories
niperembe perembe ni ka ni hobby
si unajua me upenda watukutu
don’t be shy come let’s get naughty
na sasa ni k-moto moto
mi ndo wako mtoto toto
ninacho hisi ni rojo rojo
napenda zako simpo simpo
uko simpo, napenda njaro zako simpo
[stivo]
ndio maanake
[vivan]
uko simpo, napenda njaro zako simpo
[stivo]
ndio maanake
[vivan]
na sasa ni k-moto
mi ndo wako mtoto
[stivo]
ndo maanake
ninacho hisi ni rojo
napenda zako simpo simpo
na sasa ni k-moto moto
mi ndo wako mtoto toto
[stivo]
ndo maanake
ninacho hisi ni rojo rojo
napenda zako simpo simpo
letras aleatórias
- letra de 風にふかれて (kaze ni fukarete) - 増田俊樹 (toshiki masuda)
- letra de alice - knuckle bones
- letra de alone (feat. manew) - lil veevee
- letra de guap - chewearsprada
- letra de el fuego de la felicidad - dantos
- letra de die leichtigkeit - lukas meister
- letra de vw'00 - citrobal
- letra de designer - d.m.t
- letra de vi pasar la vida ahí fuera - cidtronyck
- letra de image - predia