letra de nioneshe - vivian kenya
nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
nimechoka na kugambo, na kugambo yeah
nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
nimechoka na kugambo, na kugambo yeah
nioneshe, nioneshe njia zako
baba nioneshe,nioneshe ukuu wako (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (njia zako baba aah)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nionеshe)
oh baba nioneshe,nionеshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
hata wakiniona, wakiniona waone your peace all over me
mungu umenitetea, umeniinua, your joy is all over me
na musa baba alinyorosha fimbo
akawaabia wana wako, my people let’s go
hawakujua wanakokwenda, kwenda uliwaongoza yesu
hawakujua wanakokwenda, kwenda uliwaongoza baba
name sijui nako kwenda, kwenda uniongoze yesu
name sijui nako kwenda, kwenda unioneshe
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (njia zako baba aah)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
sometimes mi nafeel uko far away
lord sometimes, imani yangu kwako ina-fade away
nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
nimechoka na kugambo, na kugambo yeah
nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
nimechoka na kugambo, na kugambo yeah
nioneshe, nioneshe njia zako (njia zako)
baba nioneshe,nioneshe ukuu wako (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (njia zako baba aah)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
oh baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
letras aleatórias
- letra de gods of violence - kreator
- letra de 2 seater - e-40
- letra de epic fail - bumpin uglies
- letra de 青と黄色のピエロ - the collectors
- letra de h.e.r.o.i.n. - motel connection
- letra de pendulum beat! - super★dragon
- letra de fear tactics - poured out
- letra de amor amor - william king of love
- letra de episode 9 - thc.wave radio
- letra de one girl - at-anurag tomar