letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wacha waseme - velliecious

Loading...

[verse 1]
nakupenda baby, njoo utulize mtima w-ngu
kila ninachofanya ni kukupenda wewe
usinilenge njoo unidekeze kama mtoto
kajaze upweke ulio ndani mw-nguu…

bridge
wacha waseme usijali lawama zao
tupeane mahaba twakomeshe hao wanoutusema sisi
walai ninadai
tuvishane pete milele uwe w-ngu nami niwe wako…
ooo…

chorus
wacha waseme
wacha waseme
wacha waseme
(usijali lawama zao…)

wacha waseme (ooh…)
wacha waseme
wacha waseme
(baby boo…)

wacha waseme
wacha waseme
wacha waseme
(usijali lawama zao…)
wacha waseme
wacha waseme (ooh…)
wacha waseme

[verse 2]
kila nikukuona moyo unajawa na furaha
najawa na kichaa wee ndio raha yangu
wengi wamedai niachane nawe ati wewe unifai
ila nimeshazama kwa penzi lako wala sisemi noo…

bridge
wacha waseme usijali lawama zao
tupeane mahaba twakomeshe hao wanoutusema sisi
walai ninadai
tuvishane pete milele uwe w-ngu nami niwe wako…
ooo…

chorus
wacha waseme
wacha waseme
wacha waseme
(usijali lawama zao…)

wacha waseme (ooh…)
wacha waseme
wacha waseme
(baby boo…)
wacha waseme
wacha waseme
wacha waseme
(usijali lawama zao…)

wacha waseme
wacha waseme (ooh…)
wacha waseme

[verse 3]
nafungua moyo w-ngu, hisia zangu
kwamba mi siezi ishi bila wewe mpenzi
kweli mola alipanga mi na wewe together for life
baby usiseme no itikia mwito w-nguu…

bridge
wacha waseme usijali lawama zao
tupeane mahaba twakomeshe hao wanoutusema sisi
walai ninadai
tuvishane pete milele uwe w-ngu nami niwe wako…
ooo…
chorus
wacha waseme
wacha waseme
wacha waseme
(usijali lawama zao…)
wacha waseme (ooh…)
wacha waseme
wacha waseme
(baby boo…)

wacha waseme
wacha waseme
wacha waseme
(usijali lawama zao…)

wacha waseme
wacha waseme (ooh…)
wacha waseme

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...