letra de iko bie - vdj jones
wakali wao yao yao
rada safi
hahaha, si unajua tu ni nani
si unajua ni genje ni mbwaya
niko kwa jam ndo nakam
ameweza ninabonga na madam
wapi nare zilipuke ki-saddam
ati, eh eh
(mavo on the beat)
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
ati ah
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
wakali wao yao yao
rada safi
hahaha, si unajua tu ni nani
si unajua ni genje ni mbwaya
niko kwa jam ndo nakam
ameweza ninabonga na madam
wapi nare zilipuke ki-saddam
ati, eh eh
(mavo on the beat)
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
ati ah
iko bie, rada rada iko bie
eh iko bie, ati iende sana iko bie
sinaga presha, tish nacheza tu na pesa
ona sasa leo ni kukesha
mashash leo nimekam tu na mapedi kwa club
acha tuslow tushow flexing kwa floor floor
yaani tuflow ki pro
mmmh mmekawia, i mean here
ju mimi ndio cargo vitu nimebeba ziko bie
zimeninasa zimenichocha aki niko irie
si ni kidudu kukinyanya macho niko bie
inachangamsha brain tena sana mdie
ngeus akianika leo naingia kindie
anadai kufunga duka nijipige pige valon
chura ni chura ata upitie salon
mbele na nyuma nyeusi kama nylon
nakachachishia home juu kwa balcon
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
ati ah
iko bie, rada rada iko bie
eh iko bie, ati iende sana iko bie
badgirl niko bie na disaster jo
nipige lighter ju napenda marasta yo
nichore saba waraushe tududu jo
ni hitilafu genge ni laife bro
na maji chafu kwa balke sio inje bro
tunawabeba ki-casket si kifo bro
mapekejeng kuzamisha tu mamjulubeng
kwa sofa orea uniseti tu kama chain
ge-gengetone inatake over vi dj jones
wasanii wanaomoka wanamake doh
niko bie kwa hivyo leta makondiko
nina bullet kwa pistol niko na libido
washa shada shikisha ka jaba
mi ndio sponyo wako joo achana na wababa
mate nakupea ata ka uko na homa
si ati sikupost ni whatsapp ina goma
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
ati ah
iko bie, rada rada iko bie
eh iko bie, ati iende sana iko bie
mi bazeng ninataka tu mayeng
nikibonga tu na sheng
nikitweng nawabeng
na kwa mbosho ni maweng
nimetulia na geng tukiwasha tu ma ‘ssh’
tukikata tu makeg, ju ka weather kako fine
na siku tu iko bie
cheki wasupa wamekam lazima nipatiwe
kwanza njeri, sharon na mwende wa nie
wanatambua kim swat kwa bed ka fathe
dem anaringa si atekwe
baadae ukimtoka achekwe
kwekwe ngoko ni shikwekwe
kama we ni fala usiwekwe
ichape ichape ilale icheke
toka toka teke, toa mpaka nyege
senge nishonelee kitenge
finya kama sembe na ngoma za wagenge
ziwashe kidogo kwa kinenge
zishike upeperuke kama ndege
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
ati ah
iko bie, rada rada iko bie
eh iko bie, ati iende sana iko bie
iko bie, rada safi iko bie
iko bie, fiti sana iko bie
ati ah
iko bie, rada rada iko bie
eh iko bie, ati iende sana iko bie
letras aleatórias
- letra de where shadows lie - filip lackovic
- letra de neon lights - highland sanctuary
- letra de fools - lucy bell (uk)
- letra de the bells - heavy head
- letra de eyes wide open - dxseo
- letra de новый порядок (new order) - кирпичи (kirpichi)
- letra de broken down dam - the steel woods
- letra de war dogs - mike oxlong
- letra de twice - erika de casier
- letra de rental gold tesla - sho stime