letra de dance ikibamba - vdj jones
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
mimi ndio pedi wa mtaa
mnanuna ni ka si tumeleta corona
amka mdance!
unajua ni genje ni mbaya
(mavo on the beat)
bruz newton once again
yoh peter scarlet, padii!
ka ni dance mimi ndio pedi wa mtaa
nikitoa wote wan-z-tokaa
ka ni dance wote walijaribu kutap
mi ndio kanjo sasa hakuna tap
eh vdj jones akaniita kwenye track
gava inadai mi nivae mask
nikae home sina hata kapesa ka gas
niko njaa na siwezi mada verse
nasahau mpaka niko njaa
ngoma ikibamba ninakatika
dance ikibamba, watu wote zimeshika
wanakunja kiuno wakipiga guitar
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
zinawashika kama mogoka
mlivunjika nikiwapiga
kina latifa wanakulika kama mifupa
unaingishwa tukitapika
mmejificha tukilipuka ngoja
moja, mbili, tatu
dance inachezwa na watu, a few
kabla ya saa moja, curfew
hakuna kupiga chafia, ahchew
ambulance, wiu wiu wiu
nasahau mpaka niko njaa
ngoma ikibamba ninakatika
na ni watu wote zimeshika
wanakunja kiuno wakipiga guitar
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance tu, cheza ukiringa
cheza ukiringa
dance tu, cheza ukiringa
cheza ukiringa
nasahau mpaka niko njaa
ngoma ikibamba ninakatika
watu wote zimeshika
wanakunja kiuno wakipiga guitar
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
letras aleatórias
- letra de up the score - pj glizzy
- letra de move - sergei barracuda
- letra de 143 - k. sparks
- letra de cromwellsfort road - sweet freedom
- letra de прайс (price) - pain (cold)
- letra de クイーンオブハート (queen of hearts) - luz (jpn)
- letra de hate or l0ve - lucfart
- letra de this means war - awake at last
- letra de boato - elza soares
- letra de horror movie hero rap cypher - b-lo