letra de siri - vanessa mdee, barnaba
intro
tosa la secret baby
jamais
yooo zane valee baby
yooo zane valee papaaa
verse 1
[barnaba]
treni langu la kutongoza
limefunga breki na kituo ndo wewe (ndo wewe kipenzi)
sina mengi mimi
sio mtoto wa mjini
nimefundwa jandoni kipenzi
[vanessa mdee]
hadithi hadithi uwongo njoo
aya nieleze porojoo
mie bado mdogo
ivi ni juzi ulikuja na mauwa (yes)
kulikuwa na barua ila sukuifunguaa na na naa (why)
[barnaba]
ungesoma ndani (why)
ungejua vingi (no)
vile moyo w-ngu ulivyojawa na vigingii ii
wewe una mume (nampenda)
nami nina mke
twaweza iba bado wasish-tuke! (loh!!)
bridge 1
[vanessa mdee]
k-mbe muhuni ii ii ii
aku siwezi kushare penzi noo way
kasoro yangu nini ii ii ii
si una mke yule amekosa nini
ouu yeah! ouuuuuu!
chorus
[barnaba]
kwanza ningekuomba
kupenzi ukubali ii
tutafanya siri ii
ya watu wawili
[vanessa mdee]
utaniponza kwa jambo hili
hamnaga siri
ya watu wawili
[barnaba]
kama ukikubali
nitakupa kagari
na visalary
utakuwa bonge la sister duu
[vanessa mdee]
aliniifunza mama
niogope wavulana aa
nikae mbali
nyie wabaya sana
verse 2
[vanessa mdee]
kwetu nyumbani ii
tumekulia kwenye dini mmh
penda wako nyumbani kwanza
kisha unipende mimi mmh
[barnaba]
aaaaaasante
kwa muda wako
nimependa majibu yako
hivi niku ulize swali? (niulize nini?)
anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya?
ni muhuni (muongo)
niseme nini (muongo)
kila kitu (muongo)
maneno yangu hayakuvuna pendo
[vanessa mdee]
hunajipya (muongo)
useme nini (muongo)
maneno yangu (muongo)
kibaya zaidi mke wako akijua
bridge 2
[vanessa mdee]
k-mbe muhuni ii ii ii
aku siwezi kushare penzi noo way
kasoro yangu nini ii ii ii
si una mke yule amekosa nini
ouu yeah! ouuuuuu! (ebo!)
chorus
[barnaba]
ukikubali
nitakupa kagari
na visalary
utakuwa bonge la sister duu
[vanessa mdee]
aliniifunza mama
niogope wavulana aa
nikae mbali
nyie wabaya sana
[barnaba]
kwanza ninge kuomba
kupenzi ukubali ii
tutafanya siri ii
ya watu wawili
[vanessa mdee]
utaniponza kwa jambo hili
hamnaga siri
ya watu wawili
[barnaba]
kama ukikubali
nitakupa kagari
na visalary
utakuwa bonge la sister duu
[vanessa mdee]
aliniifunza mama
niogope wavulana aa
nikae mbali
nyie wabaya sana
letras aleatórias
- letra de chat! - zxgger
- letra de além da razão - jorge aragão
- letra de reisen durch die zeit - matthias reim
- letra de boy meets evil (cover en español) - hitomi flor
- letra de chocaine - marsy mars
- letra de lovesick_ - vrsty
- letra de curse of the oil snakes (remastered) - the hope conspiracy
- letra de molotov - peter white
- letra de eve - thanks for coming
- letra de franz kafka - hgich.t