letra de zanzibari spice - turunesh
Loading...
mapenzi yaki zanzibari
baby, we ni kitu kali
katisha roho ukisitisha
inatisha ukinani
ukishika ni faya
acha roho mbaya
shtuka ushanifika chini
tushawaka akili
asali yako ni tamu
nachovea pilipili
nadhani ni hisiya
bila sauti unasikia
shtuka tuko kati ya shuka
shika nayeyuka
nashindwa kutammka
kuamka sitaki
only you can take it
only you can take it
maji yangu ni sacramental
tumia ulimi
dunia ni mimi
asili ya mahaba
usiliye baby
peponi ni hapa
nadhani ni hisiya
bila sauti unasikia
kati ya shuka
shika nayeyuka
letras aleatórias
- letra de south side anthem - brendon tayler
- letra de τόσα βράδια (tosa vradia) - giorgos mazonakis
- letra de i will never feel like i did in 2016 - softheart
- letra de agnus dei - cláudia
- letra de happyness - mr lambo
- letra de fick dich, viva - viva (deu)
- letra de descomplica - marcoz fernandes
- letra de ferris wheel* - rich the kid
- letra de tag mig i hånden - olivver
- letra de sun / moon - philip shibata