letra de riziki (feat. madee, deso & sungura) - tunda man
a. m records
ya ya ya ya
yaya ya ya (tip-tip-tip-top)
ya ya ya ya
yaya ya ya (tip-tip-tip-top)
maumivu unayofanza, kisha unajipanga kwa kujipongeza
ukipata buku usidharau mia, ndio kwanza juhudi ongeza
wapo wengi sana walio shika hela mwisho wake wakacheza
familia yake inakufa njaa, heshima yake kwenye meza
unanini we? unafanya nini we?
upewe nini we? hebu kuwa makini bwana we
hii dunia (eh eh), tambala bovu wanasema(sema)
vuta hela eh, acha ubishoo hauna maana
mungu achagui mila, kabila, fadhila masikini zingatia bwana
kama kweli unania, dhamira, subira, jiamini utapewa we
mungu achagui mila, kabila, fadhila masikini zingatia wewe
kama kweli unania, dhamira, subira, jiamini utapewa we
leo umekosa kesho utapata muombe mungu (eh eh eh)
imani potofu eti umekosa vunja chungu (eh eh eh)
mengi ridhika kwako sichoki na majungu (eh eh eh)
dunia sio mbaya bali wabaya walimwengu (eh eh eh)

mwapuke we
mwapuke we
mwapuke (kisa ni kidole)
mwapuke we
mwapuke we
mwapuke (kisa ni kidole)
mwapuke we
mwapuke we
mwapuke (kisa ni kidole)
bado wanasumbuka (wao)
ridhiki hazijafunga (hao)
wanafiki wanazungua
hawataki kukubali kiwete nimenyanyuka
ngoja nitafute noti
hata apo mti pesa hatushushi bendera
jitume usione soo
toka lini paka, nyau wakaishina msela
dunia yako ila mbona unayumba
weka shida likizo ebu sakata rhumba
hata iweje la ubani kuvunda
ole wako rafiki uwe unatumia ndumba
we unapenda kuwatoa skirt
unapoteza muda kucheki ngono kwenye net
kipi unapenda keshi amacheki
nani anakwenda motoni matonya ama bill gate
leo umekosa kesho utapata muombe mungu (eh eh eh)
imani potofu eti umekosa vunja chungu (eh eh eh)
mengi ridhika kwako sichoki na majungu (eh eh eh)
dunia sio mbaya bali wabaya walimwengu (eh eh eh)
leo umekosa kesho utapata muombe mungu (eh eh eh)
imani potofu eti umekosa vunja chungu (eh eh eh)
mengi ridhika kwako sichoki na majungu (eh eh eh)
dunia sio mbaya bali wabaya walimwengu (eh eh eh)
kama mtafutaji
tafuta ili uje kula na wana
wewe mtu wa maji
lipia usinipe mimi lawama
wewe ni kiongozi
chakarika jahazi lisije kuzama
kupata bila kazi
ni kama kesi tu bila dhamana
leo umekosa kesho utapata muombe mungu (eh eh eh)
imani potofu eti umekosa vunja chungu (eh eh eh)
mengi ridhika kwako sichoki na majungu (eh eh eh)
dunia sio mbaya bali wabaya walimwengu (eh eh eh)
leo umekosa kesho utapata muombe mungu (eh eh eh)
imani potofu eti umekosa vunja chungu (eh eh eh)
mengi ridhika kwako sichoki na majungu (eh eh eh)
dunia sio mbaya bali wabaya walimwengu (eh eh eh)
aya eh tip-top, nyingine tena wala usihofu
yo maneke mkuu niweke earphone zako wapi chini au juu
oh my men tip-top connection from manzese yeyayo
letras aleatórias
- letra de shamari s krak / dobro ili nishto - prim
- letra de the illest - dj whoo kid
- letra de 와일드 (wild) - nine muses
- letra de magic, tragic - meda blaq
- letra de la viuda de o`brian - mägo de oz
- letra de se me olvidó otra vez - lucero león
- letra de maintained relevance of destruction (part i) - hypno5e
- letra de por amor a mi pueblo - los bukis
- letra de the mother we share (miaoux miaoux remix) - chvrches
- letra de b-ball - master p