letra de ni nani? - tumaini gospel singer's
eeeeeeh yesu
eeeeeh
mwokozi wetu
eeeeeeh yesu
eeeeeh
mwokozi wetu
umetulinda bwana ni wema wako
umetuponya bwana ni huruma zako
umetulinda bwana ni wema wako
umetuponya bwana ni huruma zako
hatuna chakulipa kwako bwana wetu
hatuna chakulipa kwako bwana wetu
ekheeeeeeh
ekheeeeeeeh
pokea sifa zetu baba
eeeh mungu eeeeh
pokea matukuzo yetu
sifa ni zako wewe
pokea sifa zetu baba
sifa za wanyoofu wa mioyo
pokea matukuzo yetu
nyimbo zetu na sifa zikufikie
na sauti nzuri ziwe manukato kwako baba
nyimbo zetu na sifa zikufikie
na sauti nzuri ziwe manukato kwako baba
ni nani aliyekama wewe mungu
matendo yako siwezi yahesabu
siwezi yahesabu
mbingu yahubiri utukufu wake mungu
anga la tangaza kazi yake bwana
mbingu yahubiri utukufu wake mungu
anga la tangaza kazi yake bwana
utukufu na heshima ni vyako mungu
ni vyako mungu hakuna kama wewe
utukufu na heshima ni vyako mungu
ni vyako mungu hakuna kama wewe
tukulipe nini ewe mungu wetu
tulivyo navyo vyote mali yako
mungu
nijivunie nini
niringie nini mimi
vyote mali yako
ooooh
nij-poimba sana mimi
na sauti nzuri hii
yote mali yako
nijivunie nini mimi
niringie nini mimi
vyote mali yako
ninapoimba sana mimi
na sauti nzuri k-mbe
yote mali yako
tukulipe nini ewe mungu wetu
tulivyo navyo vyote mali yako mungu
tukulipe nini ewe mungu wetu
tulivyo navyo vyote mali yako mungu
letras aleatórias
- letra de jnouné - naps
- letra de tu non mi manchi - giovanna
- letra de the end of the line - lisa danaë
- letra de carnalita - naps
- letra de air china - lupe fiasco
- letra de kopfüber ins nichts - serum 114
- letra de amigos idiotas - spongebob squarepants
- letra de work - sonny digital
- letra de worldstarhiphop - los santos
- letra de molly - yiorgos