
letra de sitaki tukosane - triple hustle
Loading...
acha na zile zako za kutoka zama
wacha mi na ze zangu tabia nao nazo
zimeishi kwa muda mrefu
nikikwambia zote sitaki tukosane mrembo we
(uuuuii)
acha zako mi ntaacha zangu
mapenzi tutapatana msupa ata kama
oooh oooh
nilimwambia mbuyu w-ngu nina msupa
sasa nikienda ntamwambia aje saa hii
akafurahi sana bana
haki ya mungu unanigeuka(iaii ooh)
unamwendea ule wa kule
nitasemaje nikienda kwetu saa hii (uuii)
aaii mi maskini
ntatinda aje nikimwambia
mbuyu wa kw-ngu bana ulich0m-ka……
venye alikuwa anahitaji ukuwe hii december
maze mi ntabeba gondoro nijifanye kinugu
after ikiwa ivo nende nijifanye mwenda wazimu
wallaeh ndo nisiulizwe maswali mengi msupa
nitajifanye nimepagawa akiengai
letras aleatórias
- letra de when the sun hits (demo) - slowdive
- letra de häxan - us in motion
- letra de holmes - morgenshtern
- letra de i aint stopping - marlow p
- letra de bushwhacked - whitmer thomas
- letra de une douche, un bédo - joysad
- letra de atrocity queen - jesters of destiny
- letra de chalala - maurane voyer
- letra de comme avant - cyclop
- letra de worker bees - the apparitions (usa)