letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de vumilia - trio mio

Loading...

na na, eeh
na na na na na, eeh
na na na naa
na na na naa

[hook]
vumilia, roho yangu
majaribu, ni kama moto
inayochoma, imani yangu
baba naomba, nisaidie

[verse 1]
trio leo mbele zako
mtaani brikicho na landlord
leo ametutingia padlock
rent ya kama mwezi tano
tangu ancheki kwa mpasho na-
aniskie kwa radio jambo, hacheki vile tuna struggle
“we uliomokanga kitambo”
ninahustle, hapa jasho, kila mtu nimwone za macho
utadhani nilishinda jackpot, wasanii ni ka kuku za sanford
utazungushwa pale display ndio wanununuzi wakukiche
wakikupenda, mafutani, uwekwe chumvi wak-minye

[bridge]
ulinipea kipaji
niepushe na watiaji
nisikanganywe na ganji
kukapitia ni humbling
mi naifanya for the family
nieke kitu mezani
god we chukua usukani ju
bila we mi siwezani
[hook]
vumilia, roho yangu
majaribu, ni kama moto
inayochoma, imani yangu
baba naomba, nisaidie

[verse 2]
nabalance talanta na mbuku, inakuanga ngori nang’ang’ana
nabambanya mkwanja ya supu, kasembe angalau tusilale njaa
mi mbele nacheki dalili za taa
milele nakuanga naamini sir jah
ni ye amenifikisha huku, ni trio kwa mbulu wanatazama
maisha uw-nga up and down kama moodswings ama seesaw
naja full swing kila seaseon
n’ko kwa pulpit nina seek god
nina seek strength ya ku sing song zitafanya mthama asare kusakanya
nimshikie kikeja na nganya
hadi hapa ni sala za mkanya

[bridge]
ulinipea kipaji
niepushe na watiaji
nisikanganywe na ganji
kukapitia ni humbling
mi naifanya for the family
nieke kitu mezani
god we chukua usukani ju
bila we mi siwezani
[hook]
vumilia, roho yangu
majaribu, ni kama moto
inayochoma, imani yangu
baba naomba, nisaidie

[outro]
vumilia, roho yangu
majaribu, ni kama moto

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...