letra de huniachi - trillion thamani
intro
hivi ni wewe oh baby oooh
hivi ni wewe gal
verse 1
ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata
na nyingi shurba huko nyuma alizopata hatok-mbuka
nilifanya unyeshewe nauko jangwani angalau
nikakupa vya sawa na yule wa ndani, umesahau
mi mjinga labda we unazo kichwani agharabu
mbona sikukwacha we unache kwanini?
pre-chorus
hili picha haliishi tutajauana
mbona w-ngu nlimchiti na wako ataisoma
penzi mbio za vijiti tunapokezana
mradi tunate na biti tusije wakwaza
chorus
huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
verse 2
tumefanya mengi hunachi kirahisi nitang’aana
j-po umempata mwenzi siweki pingamizi nakubaliana
iweje uniache mbachawa mi nilikusitili ukiwa huna mkeka
nikaikupa vyote kidawaswiti nikamkatili ukanemeka
mmmh!
huyo mwenzangu kataka vya mbwa
atakula kwa mbio
avuje damu alete kodi ya nyumba
mimi chakula na nguo
na moyo w-ngu ulimpora mwenzio
nami nampora na huyo
kuachana katu labda mabambio niimbiwe kalala yoh
w-ngu simwachi, nawе apo sikuachi eh
hata uolewe
nalipa kisasi, cha w-ngu my switi еh
na wako msolole eh
pre-chorus
hili picha haliishi tutajauana
mbona w-ngu nlimchiti na wako ataisoma
penzi mbio za vijiti tunapokezana yalai
mradi tunate na biti tusije wakwaza
chorus
huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
huniachi na sikuachi
sikuachi na huniachi
haka kamchezo katamu
tuendelee
oh noh ooooo
tuendelee
oh noh iyeh
tuendelee
ooooo oooo
tuendelee
oooooh oouuuuhuu iyeeee
w-ngu simwachi, nawe apo sikuachi eh
hata uolewe
nalipa kisasi, cha w-ngu my switi eh
na wako msolole eh
outro
hapo bila bila e
ngoma bila bila e
unamchiti wako na mimi si ninamchiti wakw-ngu
naitwa tee mansa.tments!
letras aleatórias
- letra de spin me - hochubently
- letra de pick up the phone - buu e. radley
- letra de vvs - jorgitoalc
- letra de kinky - kane train
- letra de (forgot name) забыл имя - big cry
- letra de lacrimogeni - highsnob
- letra de aquário - malinwa
- letra de la voce - swf
- letra de willkommen (reprise) / final - mariana elisabetsky
- letra de death dance - erode of sadness