
letra de niambie - tresor
[verse 1]
hapa nyumbani unajua
we njo moyo
jamaa inakupenda piya hauoni
niambie jua nini unataka wende
we dada uki enda na mbali
mi nta gonda
safari yako mbone shida we dada
niambie jua nini unataka wende
[pre-chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
[verse 2]
baki tukae pamoja
mpaka mwisho
najuwa mi sikupe wakati
zongeya
nimabiie jua nini unataka wende
we mama ukibeba mapenzi
yako mbali
dunia itakuwa giza hanuone
niambie jua nini unataka wende
[pre-chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yеtu baki basi
tu ongeye
[bridge]
we dada uki enda fata njia
ilе uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
letras aleatórias
- letra de mibare hanooz - erfan & gdaal
- letra de f.451 - adam warrock
- letra de suicidal thoughts pt. 2 - harry heckler
- letra de la fine del mondo - gabry ponte
- letra de living in a dream - one more time
- letra de vete y alejate de mi - antony santos
- letra de ääliö meno - jokrates
- letra de shakin' off the rust - the blue stones
- letra de l.e.s artistes [xxx change remix] - santigold
- letra de can it get any deeper? - jimmys