letra de quota lyf crysis - trabolee
[hook]
hii ni quota lyf crisis
so buda niko borderline psychic
hii ni quota lyf crisis
so buda niko borderline psychic
[verse 1]
nak-mbuka niki-marvel at magnets undercover
tuki-scratch the surface that was past tense
nishatambua tafash
hii mziki itawa msingi ya kuangusha makashfa
nyakua tabula rasa toka kwa nyavu za pastors
lakini kwanza, back to the future
kwa zile shairi tulitunza tukijaribu kuvunja pingu
hadi sahihi zikafutwa kwa kitabu cha mbingu
uliniambia we palilia, dalili ya mvua ni mawingu
ka una nia haijalishi mbinu
na kwa wale wafuasi wa nafaka, wape maji
utawatua wakiwaka, usiwape ngazi ukidhanii watakuinua wakipata
usisake taji, jenga kitu pure for the culture
so the more mi namea, vitu fewer n-z–nurture
i just put my thoughts in the air, siko sure utazi-capture
(quota, quota!)
siko sure utazi-capture
(quota, quota!)
[hook]
hii ni quota lyf crisis
so buda niko borderline psychic
hii ni quota lyf crisis
so buda niko borderline psychic
[sample]
day after day
day after day
day after day
day after day
[outro]
letras aleatórias
- letra de the rising - burden rage
- letra de dreaming forever - element
- letra de through it all - tamela mann
- letra de флаин (flying) - 9роз (9roses)
- letra de so in love - paula greer
- letra de untitled - oni inc.
- letra de swamp sickness - swamp
- letra de forget me - humble bully
- letra de bezos - twenty20 (ft corleone franccini)(hosted by fatboy 6.3)
- letra de rebellen - lina