letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de fuego - trabolee

Loading...

{bridge intro}
hey
naeza get unstable usipohold your horses
hold your horses coz naeza get unstable usiphold your horses
hey hey hold your horses love
just hold your horses coz

i said…

{verse}
me ni god, me ni rebel
me ni rod ya moses
me ni rock we ni pebble
me ni soul ya dopeness
illmind ya hopsin
nipe mic, nipe levels na divine acoustics
nikupe styles bila fables utarewind haikosi

tofauti ya fire na moshi – hawaninusi nina nuksi
wakijaribu kuwa flyer than ostrich naget higher than most peaks
flows zishaopen doors niko na keys kwa koo
i’m the sh-t n’takuachia mpaka chi kwa choo
dreams za kucrowd surf nikivuta seas kwa shows (sh-r-s)
hizi ni seeds nasow

mistari hadi kwa atlas ndo zihit the globe
lakini greed galore inafanya hatuwezi heed the law (love is the only law)
najipata nikikneel kwa floor
hawataki substance ka uko na nil kwa flow
me sitaki answers:

kwanini cee aligo?
kwanini cee aligo?
kwanini cee aligo?

na maybe navyohisi si yalivyo
for hizi bars wananipa bakshishi na inacho nitatiza ni dough
got me looking at the stars like hamnitishi coz i’ve been here before
still i rise like e-sir backwards minus the hyphen

the game imejaa a string of actors so wacha nitighten that every time i spit a pattern nakuwacha enlightened

so
yo just check it coz
neza get unstable usipohold your horses
hey hey
hold your horses love
just hold your horses

sema… fuego!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...