
letra de juju - tommy flavour
[verse 1 : tommy flavour]
baby ohh baby umeniweka mkononi sawa
ohh baby your love h’ve got something power
ajanipa juju ndivyo tulivyo
ajatumia madawa
ohh my lover
imenoga
your body imenoga
na your face imenoga
na hizo hizo lips utamu kunoga
[chorus : tommy flavour]
naona muda hauendi
ohh nimenogewa na mapenzi
alika na mashoga zako
twenzetu zenji
naona muda hauendi
ohh nimenogewa na mapenzi
alika na mashoga zako
twenzetu zenji
[verse 2 : marioo]
nalalaga na yeye lakini hata ndotoni namuota
ohh baby iii
yeye ndo ndege anemiliki kiota
nashindaga na yeye
nikitoka tu kidogo na m-miss
ohh baby iii
nikirudi napolekewa na kiss mwah
mtusimtumie message
ananipaga nasoma
oya masela w-ngu nawaona
msimtumie message
nampaga anasoma
oya vimada w-ngu anawaona
ajanipa juju ndivyo tulivyo
ajatumia madawa
ohh my lover
imenoga
your body imenoga
na your face imenoga
na hizo hizo lips utamu kunoga
[chorus : tommy flavour]
naona muda hauendi
ohh nimenogewa na mapenzi
alika na mashoga zako
twenzetu zenji
naona muda hauendi
ohh nimenogewa na mapenzi
alika na mashoga zako
twenzetu zenji
letras aleatórias
- letra de sorry - vlad in tears
- letra de red flag - lee madsen
- letra de omnitrix (feat. pure557) - imylia
- letra de biopic - carl lorusso jr.
- letra de ¿qué mierda hago en tokio? - zambayonny
- letra de passtime - joe saan
- letra de buggin me - bludnymph
- letra de venus - scotta
- letra de polo sport - symba
- letra de watch out - chaddanooga