letra de sina kazi - tmk wanaume family
intro:
uh huh
yes…yes…yes…yes…
kama kawa…
verse 1:
wananiona kama sina maana,eti kwa kuwa sina kazi ni wazi’ wala sio freshi
wana nichukulia kama’ tambara la deki kisa eti mavazi, malazi’ wala sio haki
kwako sasa kazi sina, na bado haij-patikana
nakiri nlipo kwama’ kwama (heeh)
naona hali bado haija twama, halafu’ wananiona kama kima
binadamu kadhaa wanakuwa wanazua uhasama
wananikosea heshima (sijui kwanini)
hey kima’ pia wanajaribu kuzidisha mipango yangu kimaisha kubuma
mimi nimeuchuna
najijua jinsi nlivyo mwema
vibaya’ nisema
(?) stukia mapema
na kwa haya mnayo yasikia’ wanaojaribu kuniharibia
hadi mioyoni inawaingia’ kwa hisia, zinawagusa wanakoma!
(?)
wanasema’ (?) eti nilikataa kusoma, hamfahamu mambo gani yalikwama
huo ni umbea, unaitwa kusemana’ (?) inabidi kuungama
(?)
kama napata hela naamua leo kugida…
wewe umezoea kuniona mimi nina shida
ukiniona unasema nimelewa wida
si bora usi (?) na uhakika’ kikuda
mi nta kukuda kuda
we da haa! haa! haa! haa!
chorus:
eti kwa kuwa mimi sina kazi, (sina kazi )
wanasema kwamba mimi kibaka ( mi kibaka )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( sina kazi )
wanasema hata ganja ninapata ( ninapata )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, (sina kazi )
wanasema kwamba mimi kibaka ( mi kibaka )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( sina kazi )
wanasema watoto wadogo nina baka (nina baka)
kwa kuwa mimi’ f-kara sina sauti (sina sauti…)
mavazi yangu matambara’ si madhubuti
wana nihisi mi…
verse 2:
pesa sina’ sababu ajira sina
dhiki ya kw-ngu’ kwanini mpakaze laana
watu noma’ ndo maana nachana vina
mchana mchana wanapiga ng’eta sana, ndio sababu tunaonekana tuna laana
sio kwa wote’ mi nasema hiyo hapana
(?) aisee ni watu wa kujituma, uteja noma wash’kaji bora kusoma
tuepuke ujinga wash’kaji bado mapema
bullsh-t vicheche’ ngoma noma…
ukiathirika msh’kaji utatia huruma
na bado dhambi msh’kaji utakuwa umechuma
kuwa na dhiki, tunaonekana tumechoka eeh
(?) kwa nyie mlio okoka
y- dash nakaa mi nawaza tu kutoka
nataka ku stick stendi nami ni we shatta
madereva wananicheki wanasema nimedata
mliopata wash’kaji (?) kunata
(?) tafuta pa kupita
nivishe jezi basi’ nami niwe konda
kama hautaki’ nielekeze basi pa kwenda
natafuta ajira, usinione labda nimepinda
niki ishaipata hata mi ntalipwa mshahara
ntavaa vizuri, hata mi mwenzio ntang’ara
si nto onekana mhuni’ ntakuwa mtu wa busara
ntasimama imara’ kwenye msafara
chorus:
eti kwa kuwa mimi sina kazi, (sina kazi )
wanasema kwamba mimi kibaka ( mi kibaka )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( sina kazi )
wanasema hata ganja ninapata ( ninapata )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, (sina kazi )
wanasema kwamba mimi kibaka ( mi kibaka )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( sina kazi )
wanasema watoto wadogo nina baka (nina baka)
kwa kuwa mimi’ f-kara sina sauti (sina sauti…)
mavazi yangu matambara’ si madhubuti
wana nihisi mi…
verse 3:
hii ni kwa wenye njaa’ mashujaa wenye hasira’ na zao chuki
hip hop music ni kama “jik”
hey ‘dyuza unda kiki nipe beat, nihakiki je inaunga urafiki, au inalenga unafiki
na kama ni tiki’ je hatuburudiki? ( tunaburudika! )
ok, basi b.k. nipe “bic” nishushe mistari uitilie tiki
kisha tumwombe mungu, aibariki kwa moyo wenye dhiki
j-po’ wenye njaa sisi sauti haziskiki
shujaa hatabiriki wala hatambuliki
penye nia, njia haifungiki’ cha zaidi ni kuzidisha mikiki mikiki
dyuza’ ebu kazia kazia “kick”
utaruka tu hatakama hutaki
hutaki hip hop’ itabaki hip hop, tunakufa na hip hop, hip hop, hip hop
chorus:
eti kwa kuwa mimi sina kazi, (sina kazi )
wanasema kwamba mimi kibaka ( mi kibaka )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( sina kazi )
wanasema hata ganja ninapata ( ninapata )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, (sina kazi )
wanasema kwamba mimi kibaka ( mi kibaka )
eti kwa kuwa mimi sina kazi, ( sina kazi )
wanasema watoto wadogo nina baka (nina baka)
kwa kuwa mimi’ f-kara sina sauti (sina sauti…)
mavazi yangu matambara’ si madhubuti
wana nihisi mi…
verse 4:
haina uficho’ cheki ishara inavyojulisha’ kwamba mchana tusha upitisha
tumesimama imara’ dhiki kuiwakilisha ah
hatuna kitu, kutwa matambaa hatutoki kwatu
yaani zamu yetu bado tu? au foleni haiendi, au tukilala usiku tunapewa kipindi?
kwetu hali ile ile, acha’ haibadiliki
yaani kwa siku buku hatushiki, hii si balaa hii?
hebu tuoneni’ kutwa kucha juani
tunachokipata hakionekani
mf-ko ukituna tu bosheni hii, hii hali jamani…
sijui inabagua, au wanaume tu tusile (?)
chai ya kuunguza, tunaunganika wa rufiji; mpaka wa buza
tunaishi ki miujiza, mwendo wa masaa tunakatiza ah
hatuna kitu, chenga za chukuchuku
bila tui, wa n-z- hauliki mpaka donei
hey!.. k.r. changia changia
bila hivyo hakiliki kitu, eeeeh hatuna kitu
chorus repeat
letras aleatórias
- letra de doubt it #yuabitxh - luci4
- letra de st. louis blues - jerry reed
- letra de english boys - deaf school
- letra de jazz musician - splish splash
- letra de 2002 - davvn
- letra de under the spell - king for a day
- letra de esencia 9.0 - mp el juvenil, taiu & cno kingteam
- letra de santos de madera - marah
- letra de bury me - charming liars
- letra de breathe - dickweed