letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de chai - tmk wanaume family

Loading...

chorus:
si ulitaka chai, chai
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…
si ulitaka isshh…haaa!
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…

verse 1:
umepata chai, halafu unalalamika ya moto
wakati mwenyewe… umenunua kwa (?)
unalalamika nini? wakati kila siku ulikuwa una ona matangazo kwenye “screen” ya “tea” kwenye t.v
chai ina babua’ makini usipokuwa
ati! unakunywa, tukutukutuku…! (bila…!) bila kupooza
una tegemea nini’ kama sio cha kupunguza
(?)
sana sana sehemu za baridi, tuwe’ makini’ ikibidi
najua utataka blanket na shuka’ wacha kukurupuka ah
mapenzi haramu haramu’ mwisho wake futi sita shimoni. aight!
luteni (?)
“ni home boyz produkshizoo… ndani ya muunganiko na watoto wa pwani, majani kutoka t.m.k.” anhaa!
( check it out )

chorus:
si ulitaka chai, chai
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…
si ulitaka isshh…haaa!
iwеje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerеvu
ukipenda sana ngono, itakuua…
verse 2:
ulimwona anafaa, ukamwita kifaa (enhee!)
sasa ndugu yangu wewe, ushau pakaa (ayaa!)
kwani hukujua kwamba dunia ni hadaa, na ulimwengu ni shujaa?
oh mara unalalamika washikaji wana ni nyanyapa (aaaah!)
si kama nakusema…sababu washikaji walisha kuambia toka mapema…(ndio ndio)
kwamba dunia kaka’ haiendi hivyo’ ipo siku utajitafutia matatizo (sanaa…)
haya sasa, miwaya sasa
ona unavyokuwa marehemu mtarajiwa sasa (ayaah!)
sebastian ndege unajitahidi sana…wenzio masikio wametia pamba (kweli)
wanaona ni hadithi tu wanayopewa na god mwalusamba
wanatupa (?) wanakwenda kwenda (?)
yaani wanavyo fanya
utasema kondomu hakuna! (ayaa…)

chorus:
si ulitaka chai, chai
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…
si ulitaka isshh…haaa!
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…

verse 3:
anaonekana anabisha’ wakati vipimo vilisha tuonesha
na baadhi ya ndugu zao walisha hakikisha
kila ukimtizama’ ana sikitisha
(?) alicho nacho sasa kimekwisha
miwaya imesha mu (?) wadudu washapenya
zake ni kupiga chai kavu, ushauri wa madaktari aliona kama upumbavu
alisha gawa sotojo kwa watoto wadogo na kina baba’ watu wazima
(?) inatapakaa mwili mzima…!
chorus:
si ulitaka chai, chai
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…
si ulitaka isshh…haaa!
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…

verse 4:
ai! ai!
kweli chai inachoma hii bwana, kweli ina moto, puliza!
(pff! pff!)
usi ifakamie vibaya,uje uungue, yalaaa…!
(usi ifakamie vibaya, uje uungue, yalaaa…!)
usijifanye unafahamu sana, eti kuwa ni tamu tamu tamu tamu mpaka kichogoni
najua huwezi kuniita mimi’ kama huna ulimi
ukae ukijua ukiwa na ukimwi ni sawa na jini’ ndo maana hujificha mwilini
ushangai kwanini utuue wewe na mimi (ndio!)
mgonjwa hakatai dawa, akikataa ashaiandaa kaburi
pombe haipunguzi mawazo, siku zote huwaga ndo chanzo
starehe ni mtego wa shetani ameutega duniani (ndio!)
rafiki yangu josefu -n-lalamika eti amelogwa’ kulogwa gani, unakonda, mwili unatoka vidonda…hiyo bwana itakuwa ni ngoma
nshangaza (?) na ndo maana naogopa kufanya
kulewa lewa nyaka nyaka
kuchinja (?) ovyo kwenye vichaka
dunia inachoma moto, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, kweli inachoma moto
wazazi, watoto muwa kanye, na nyie pia msifanye eeh!
chorus:
si ulitaka chai, chai
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…
si ulitaka isshh…haaa!
iweje ulalamike una ungua?
kuwa mw-ngalifu, msikivu, mwerevu
ukipenda sana ngono, itakuua…

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...