letra de siamini - tid
oooh siamini
kama tuko wote
kama tuko wote
mimi na wewe
oooh siamini
kama tuko wote
kama tuko wote
mimi na wewe
wajua pendo letu lilipotoka
si mbali sana mpenzi siwezi me sema
milima na mabonde
mengi tumeshuka (ooh)
maneno mengi walisema
kote bara visiwani (oh oh)
kidani cha moyo w-ngu (oh oh)
sogea karibu yangu (oh oh)
maneno ya kweli kwako, siamini
ooh siamini (siamini)
kama tuko wote
kama tuko wote (oh yeah)
mimi na wewe (wewe wewe)
ooh siamini (siamini)
kama tuko wote (hoyee)
kama tuko wote (wote wote)
mimi na wewe (hoye)
taarifa hii timamu
k-mbuka leo kitimutimu
tulashanapo we jangwani
na mambo ya baharini
sijiwezi asilani
mwenzio kwako taabani (oh oh)
kidani cha moyo w-ngu (oh oh)
sogea karibu yangu (oh oh)
maneno ya kweli kwako, siamini
ooh siamini (ooh yee)
kama tuko wote
kama tuko wote
mimi na wewe
ooh siamini (siamini)
kama tuko wote (hoyee)
kama tuko wote
mimi na wewe (wewe)
hallo halloo
hebu nieleze
manake natokea zangu zanzibari nafika dar es salaama
kulakona nasikia siamini, kwani nani huyu kijana
t i d, alaah k-mbe weye
yu wapi eeh (hallo hallo)
yu wapi mamake harusi aje hapa tuhangaike nae
yu wapi eeh
yu wapi babake harusi aje hapa tuhangaike nae
yu wapi eeh
yu wapi kakake harusi aje hapa tuhangaike nae
aje hapa
eti aje hapa
sema aje hapa
sema tena aje hapa (oh oh)
oooh siamini (oh yeah)
kama tuko wote (wote)
kama tuko wote (oh yeah)
mimi na wewe (wewe tu)
oooh siamini
kama tuko wote
kama tuko wote
mimi na wewe
oooh siamini
kama tuko wote
kama tuko wote
mimi na wewe
oooh siamini
kama tuko wote
kama tuko wote
mimi na wewe
letras aleatórias
- letra de true colors - dr. teeth and the electric mayhem
- letra de allemaal (uit liefde voor muziek) - jaap reesema
- letra de los'in smoke official clips - diamond solitaire ds
- letra de sozinho em casa - macaia
- letra de pieces - luimlimbo
- letra de catch me - vilatize
- letra de where are we going? - noah prince
- letra de 舅舅 (skit) [mother’s brother (skit)] - 夏之禹 (xia zhiyu)
- letra de proud to be the loner - marc g
- letra de death, dyin’ and deviled eggs - wade bowen