letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de block 34 - thirtyfourbrick

Loading...

34 hio ndio hood, round kaa una mambo
uki round una pigwa pigwa choppings

acha kudai, una hang na ma g
247 tuna zoza kwa street
acha kudai, una hang na ma g
247 tuna zoza kwa

34 ndio hood, round ka una mambo
uki round una pigwa pigwa choppings
acha kudai, una hang na ma g
247 tuna zoza kwa street

acha kudai, una hang na ma g
247 tuna zoza kwa street
mpoa wako ana jipa kwa kila mandem kwa street
one phone call mbogi, ina pull up na too much pressure

manze unajua tunameta, wanabaki wanateta
finger l!cking nikifunga wollan, quarter key
kwa mic mi ndio key, ma g
wana bonda design ya ki viking, we bado

una bluff we ni king, si ndio ma top g
videvu siezi bahatisha kutupa
unafikiria slow kama tortoise
ndio maana kwa mboka, ume sleki

si ati ati na ugusa
ma g wamejipin, ma glock hatucheki
tuna zoza kwa net, we ukibebwa kama pet

ukibebwa kama pet
34, hiyo ndo block
round ka una mambo
ukiround una pigwa pigwa choppings

acha kudai, una hang na ma g
247 tuna zoza kwa street
acha kudai, una hang na ma
247 tuna zoza kwa street

34, ndio hood
round ka una mambo
uki round una pigwa pigwa choppings
acha kudai, una hang na ma g

247 tuna zoza kwa street
tuki slide toka east, mbaka west
rada chafu
lazima nda wapiga bakora ya bafu chafu

zuazua kwa kifua, risasi mara tatu
crooked, jambazi na napenda ku saksua hawa watu
wicked kwa ganji, only two splits
tuta zika mtu wa tatu

muli ni trace mbogi, bado mkabuya kitu mtaduu
mum iza, izo kilo misi
addict ni ku slung, tuna slang mihadharati
rumours umeskia kwa hood, niombe

acha kudhani, anapoteza wakati
so vurugu si kitu, nilianza juzi
hii section usitry kukam na pupa na matusi
hii hood, utakula teke na mabuti

hii hood, yout amejipin na kidungi
34, ndio hood
round ka una mambo
ukiround una pigwa pigwa choppings

acha kudai, una hang na ma g
247, tuna zoza kwa
34, ndio hood
round ka una mambo

ukiround una pigwa pigwa choppings
acha kudai, una hang na ma g
247, tuna zoza kwa street

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...