letra de bankrupt - thirtyfourbrick
34
ume chochwa na mbogi, ume round ukaganda
kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
ule dem ni demon, sahi boyz ako bankrupt
biz bila corruption, haidai, dai
ume chochwa na mbogi, ume round ukaganda
kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
ule dem ni demon, sahi boyz ako bankrupt
biz bila corruption, haidai, dai
nishai chai, nishai chai na ndenga mboi
na bado mbleina ali wika woi
na k-mbe ni kitoy, toy, toy
msupa ali ni icha na story mboi
hiyo story ali ni icha ni mboi
ule oop boy ana bonga most
naona umefanya mengi, take a toast
mbati kwa shingo, na una ring a man
mess na mi nda kufry kwa pan
we ni mwere boy, wacha ku behave ni ka ukona p-ssy
we ni p-ssy boy, unadai ukona ndenga na ni toy
chorea ma peng madogo, trace size yako
miskuli kwako, usoro peleka kwako
change the root, hizi ends hatu deal na ma pikni
ati una ni threaten na huna ndenga
acha nichecke, huu mpoa anadai ku
ntoka lakini mi mjanja na teveva
lowkey, ana bonga sh-t of you
na the end anadai, nyi ni ma homie
bonga mingi, utastukia ki headshot
pow, pow, washa kiforeign
hatudai ma local sh-t, stories zako akidai
go take a sh-t, unadai mbogi ni dead
na ime chrome, ma batty boy, tulia bro
mbona unabanja mingi, unaroll na ma local kicks
si tu na roll na ma timba man ukidai
asset, manze unafika
nishai chai, nishai chai na ndenga mboi
na bado mbleina ali wika woi
na k-mbe ni kitoy, toy toy
msupa ali ni icha na story mboi
hiyo story ali ni icha ni mboi
nishai chai, nishai chai na ndenga mboi
na bado mbleina ali wika woi
na k-mbe ni kitoy, toy toy
msupa ali ni icha na story mboi
hiyo story ali ni icha ni mboi
mbleina alibuya streets, aligeuka mnisa
mi ni ule gwash ndafanya ukimbie kanisa
ka kuna ngori, uko lembe, already nisha inusa
manze uski, sijadoz, wiki mzima
nikopika pika za, kuji sunda sunda
running from the feds, nfs
you know that′s on our hood, n-gga get this paper
manze na feel lately, nimeji anika
nilirau ki foreign, waka babaika
waka lalamika, ati gwash zima
hii hii ni heavy sana
kidungi ndani ya pori, pia ni nzito sana
shosh huni piga ma, ombi kwa sana sana
so me na street hatujawai kosana
hallelujah hosanna sana
thigitha mambaru design, ya osama sama
try kuni double cross, tuta kosana
tuta patana, nda kuganda
r.i.p. my n-gga obama
ume chochwa na mbogi, ume round ukaganda
kazi jo, ni kubanja badala
utafte gwala, ule dem ni demon
saa hii boyz ako bankrupt
biz bila corruption haidai dai
nishai chai, nishai chai na ndenga mboi
na bado mbleina ali wika woi
na k-mbe ni kitoy toy toy
msupa ali ni icha na story mboi
hiyo story ali ni icha ni mboi
letras aleatórias
- letra de we love beer - the merry wives
- letra de liar - matt wxsted
- letra de way out there - hank snow
- letra de 발걸음 (a day for love) - yukika
- letra de love, sex, harmonies - jiggo
- letra de border patrol - gaytheist
- letra de мы (us) - danik beldenov (pale)
- letra de ich vergesse nicht - jhony kaze
- letra de delirium tremens - sextrash
- letra de nunu's arrival - ajani nanabuluku