letra de my first song - the proverbial kiki
[intro]
jina ni p.r.o verbial kiki, nawapa mziki
ongeza volume kama haiskiki
nacome na faraja ni ka nacome baada ya dhiki
kashkeed change hio beat nibonge na mashabiki
[verse 1]
proverbial kiki , rapper na vlogger
camera na mic kwa mkono niko hapa na roga
my first song na tayari naacha marapper na ‘woga
najua hawataki beef so nitawachapa na mboga
nimekuwa shule , daily nikistudy upishi
recipe for success niko ready kudishi
itching kuingia kitchen sufuria na mwiko
ready kuwapatia fire utafikiria ni jiko
angalia kile nawa andalia
niko mwanzo wa my career na wanasema mama mia
mama skia , soon itakuwa clear
msiseme sikuwaambia mkiniona after a year
[chorus]
chorus tutaiweka baadae x2
nananana nananana na na na na naaa
na na na na nana na na
this is my first song
[verse 2]
niko good enough kuwa top 10 , too new kuwa top 4
7th best in the game ndio position na hope for
my top 4 xtatic , nyash , khali na kaka
i’m number 7 bila swali nakubali mashtaka
nakuja na versatility
sk!ll inafeel appealing
swahili na vina k!lling
wasili na sina ceiling
so fear vile na thrill
bro skia vile na k!ll
ka spear vile ina drill
blood smear vile na spill
nipe kick na snare hakuna beat na spare
ju my goal ni kuwaacha speechless (yeah)
nipe kick na snare hakuna beat na spare
proverbial kiki coming for your speakers (yeah)
[chorus]
chorus tutaiweka baadae x2
nananana nananana na na na na naaa
na na na na nana na na
this is my first song
[verse 3]
hamkuwa mna expect this, you have to respect this
rap g*nius manze you want to inspect this
cheki style , cheki flow , cheki techniques
niliandika hii kunyamazisha ma skeptic
dreams zinakuwa reality today k-mekucha
hizi bars ni crystal bowl displaying my future
wataniwatch dar es salaam wataniplay in abuja
so tayarisha sahani ju buffet inakuja
food inatosha na itawa feel fully
kila meal iko served sk!ll fully
so sweet utaneed insulin
bars heavy basi utagain misuli
[chorus]
chorus tutaiweka baadae x2
nananana nananana na na na na naaa
na na na na nana na na
this is my first song
letras aleatórias
- letra de aubade - nadia boulanger
- letra de oh shit - de la ghetto
- letra de somebody else - adin
- letra de 4 chain - flowrpot
- letra de luciano moggi - kiddkasal
- letra de paris to rome - dylan davidson
- letra de dzvirian restoranshi - dagdagani
- letra de on repeat - flux pavilion, wooli & cammie robinson
- letra de ay - cem karadeniz
- letra de 0161 money on the map // fares - bbp