letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yerusalemu - the parapandaz

Loading...

yerusalemu x3 mji wa amani
yerusalemux3 mji wa upendo

watafika huko waliokombolewa, na damu takatifu, damu ya mwana kondoo oooohh
watafika huko walio safi moyo, walioshinda vita ,vita vya mwana kondoo.x2

ninautazama mji wametameta, kwa mawe ya dhamani natamani kufika, oooh
nikishinda vita nitaingia kwa lango,mlango huu wa yuda , mlango waningojea x2

unashuka hima mji wakaribia mji yerusalemu, nauona kwa mbali mji yerusalemu
ninautazama mji wa baba yangu, makao ya amani zayuni mi nitafika x2

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...