
letra de pole musa - the moipet quartet
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa
taabu…
taabu…
taabu
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
oye, oye, tafadhali musa
tafuta bibi atakayeweza
kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye
ukinywa munyeke wamnywia yeye
pole…
pole…
pole.
letras aleatórias
- letra de dança menina - cp no beat
- letra de lil emo bxtch - joshua's black eyed
- letra de bleaper - tsm beeezy
- letra de stumblin' - ferge x fisherman
- letra de anestesiarme - parteplaneta
- letra de aman (roy malakian remix) - myriam fares
- letra de i'm mortal - nautical front
- letra de risky - sonny
- letra de bed of sin - going222jail
- letra de adult money - ava