letra de sugu - the king yd
(yeah)
[verse 1.] (yd)
kamazegani mpira hupo gambani
vile nawabana kutoka china na j-pan’i
namwamini mungu funga virago shetani
ndo makini akiwa mweusi baraka tumwite nani (huh!)
kwenye beat natereza hadi nachana kingereza
good moeni , how are you. made that simple, you tweet for your own, but i tweet foer my people
nisha taabika, walasikusikika
wakalashika saani nikakosa nilicho pika
sasa mambo yamejiba, kilakitu niuwakika
nanenepa wasafi kupita safi na tifa
[chorus]
wananita sugu (nani!)
wananita sugu! (nani?)
wananita sugu,… sugu, sugu, sugu!
[verse 2.] (eky)
nita rayvanny boy v-vanny langu jina
kinyago toka mbaya sio toi laki china
sija toboa skio sijipiko wala ina, nitatulia kazigani
ngozi taa imezima, visilali walo kesha kupiga dini
awahamini nikipita wanaokba picha namimi
zamani, mademu walinipiga chini sasa wananisumbua wao “ray jibulangu lini?” nashindwa kuwa tabiri walio sema nitafeli
wakanita bajaji stopita kwenye relly
a’sa niwasafi, kuku kapona kideli
ukisikia “birthday!” basi tukutane sheli
[chorus]
wananita sugu (nani!)
wananita sugu! (nani?)
wananita sugu,… sugu, sugu, sugu!
[verse 3.] (yd)
nite raysugu, sugu lakula sugu
binti mama wakambo mbona linatema sudu
mafuta namashudu, kitukina kusudu
vunja kibubu usiju kuwa mchele ama bubu
nafurai kuona matusi ya walio ninyima kero pindi nakula mizinga
sasa nawapa kero zamu yao kuzinga, eky kanipa mila msishutuke nikivimba!
uswaze, ndipo napotoka,… sister’du onyo kushoboka
sito kuonga iphone, nitakuonga gorofa
simu liki tochi ukacheze gemu lanyoka
[chorus]
wananita sugu (nani!)
wananita sugu! (nani?)
wananita sugu,… sugu, sugu, sugu!
[chorus]|yd + eky
nite eky boy yd langu jina
sija toboa skio sijipiko wala ina
nita tulia kazigani ngozi taa imesha zima
misilali, walokesha kupiga dini
awaamini nikipita waomba picha namimi
zamani, mademu walonipiga chini sasa wana sumbua “leo jibu langu lini?”
eshima kwawatabiri walio sema nita feli
wakanita bajaji sitopita kwenye sheli, sa’niwasafi
kuku kapona kideli ukiskia birthday basi tukutane sheli
,….yeah,…….mmmh yd (mr.eky!)
letras aleatórias
- letra de horror din berceni - cedry2k
- letra de dumb - jess eta
- letra de 9 millis - veerus
- letra de männlich blass hetero - neufundland
- letra de wait - fadifahfah
- letra de godam - loud flair x shelovesus
- letra de molva - deadroze // oktb
- letra de stay - mlg brick studios
- letra de duplex - saro
- letra de first thing on my mind - tragic