letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tupendane - the humbled tanzania

Loading...

najitahidi kuwa kama yesu
nikifuata njia zake
najitahidi penda kama yeye

nifanyavyo nisemapo
wakati mwingine najaribiwa
sauti sikioni ikinong′oneza

tupendane kama yesu atupendavyo
katika vyote tuwe wanyenyekevu
tuweni wapole wenye upendo
ndivyo yesu ulivyofundisha

najitahidi mpenda jirani
najifunza unyenyekevu
nasubiri siku ya furaha
yesu aj-po rudi tena
najitahidi k-mbuka fundisho lake
moyoni roho mtakatifu akinong’ona

tupendane kama yesu atupendavyo
katika vyote tuwe wanyenyekevu
tuweni wapole wenye upendo
ndivyo yesu ulivyofundisha

tuweni wapole wenye upendo
ndivyo yesu ulivyofundisha

ndivyo yesu ulivyofundisha

(autro) ndivyo yesu ulivyofundisha

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...