letra de tokomeza ziro - tanzania all stars
[hook: linex & ]
elimu bora ni muhimu (tudd thomas)
kwa kila mmoja
wote tuelimike
tufikie malengo
tokomeza ziro
kwa vitendo
tokomeza ziro
kwa vitendo
[chorus: linex with all, peter msechu]
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro… (tokomeza sina)
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro… (hey yeah)
mwisho wa ziro… (oh no)
mwisho wa ziro… (mwisho wa ziro)
mwisho wa ziro… (pa’, pa’, pa’…)
mwisho wa ziro…
[verse 1]
akakufundisha ukafika kuwa mwalimu
chonde chonde
moyo uliokuwa nao
ualimu wako (wako)
kipindi kile (kile)
ndicho wanachohitaji wanafunzi wako vile vile
jiunge na sisi
yo
nyerere alitupa chaki akaenda kudai uhuru
elimu urithi wa haki acheni kupiga ndulu
mama nishoneshe shati nakuahidi nitafulu
maticha wengi mayanki kazeni wanangu wa bwiru (ha ha)
ongeza mishahara iwe motisha
zana za maabara na kuk-mbusha
okoa kizazi chetu…
ila tokomeza ziro, okay?
wanafunzi shika nidhamu
isikuponyoke
ni vibaya kukata elimu
kwa vyovyote
tambua kwa nini uko shule
kata utoro
kata utoro
mwalimu fundisha
ili mtoto aelewe ipasavyo
usifundishe
mtoto kudidimia k-mawazo
maisha yanahitaji elimu
ndio msingi kwenye kila la muhimu
kama yatamshinda
hakuna zaidi yako wa k-mlahumu
[hook: linex & peter msechu]
elimu bora ni muhimu
kwa kila mmoja
wote tuelimike
tufikie malengo
tokomeza ziro (na na na na na na na na na)
kwa vitendo
tokomeza ziro (tokomeza ziro)
kwa vitendo
[chorus: linex with all, peter msechu]
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro… (tokomeza sina)
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro… (hey yeah)
mwisho wa ziro… (oh no)
mwisho wa ziro… (mwisho wa ziro)
mwisho wa ziro… (pa’, pa’, pa’…)
mwisho wa ziro…
[verse 2]
with k. sher
ana ndoto kila mtoto haki yake kwelimika (ah)
ni hesima ni lazima kila mzazi kuwajibika (ah)
tokomeza ziro (eh)
kwenu we ndo hero (eh)
baba mama wamaweka tumaini lao kwako
kiongozi mzingo usiyethamini elimu
uliyesahau, ulifundishwa ukapata
vikakujenga tukakupa nafasi
utuongoze…
kila kitu kizuri duniani huletwa na pesa
elimu haina umri utasoma hata memkwa
fanya chaguo chagua kitu kimoja
elimu ni ufunguo usipoteze uweke holders
mitizamo hasi inafelisha vijana
ticha ingia classi usitege bila maana
kuwa hero uwe mshindi kila sekta
tokomeza ziro usimchore messi necta
whoa, oh oh oh
asiye na ndoto za urahisi pia
ama kuwa msanii hujashangiliwa
tena msanii mkali
uweze kufika mbali
sa vipi utapata
na elimu unakata
oh, vipi utapata
na elimu unakata
ah
huku ukinyong’onyea…
kwa woga na kutojiamini
ukikosa maarifa
na mbinu za kukutoa shimoni
[chorus: linex with all, peter msechu, ]
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro… (tokomeza sina)
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro… (hey yeah)
mwisho wa ziro… (oh no)
mwisho wa ziro…
(mwisho wa ziro)
mwisho wa ziro… (pa’, pa’, pa’…)
mwisho wa ziro…
[bridge: maunda zorro]
tulia mazingira…
mabaara
walimu
wa sayansi na hisabati pia
lishe duni darasa chakavu
lakini bado we unaweza…
kujituma ukafanya vizuri
from ziro to hero (zero to hero)
ziro ni adui yetu…
[chorus: all, linex & ]
mwisho wa ziro… (elimu bora ni muhimu)
mwisho wa ziro.. (kwa kila mmoja)
mwisho wa ziro… (wote tuelimike)
mwisho wa ziro… (tufikie malengo)
mwisho wa ziro… (tokomeza ziro)
mwisho wa ziro.. (kwa vitendo)
mwisho wa ziro… (tokomeza ziro)
mwisho wa ziro… (kwa vitendo)
mwisho wa ziro…
mwisho wa ziro.. (kwa kila mmoja)
mwisho wa ziro… (wote tuelimike)
mwisho wa ziro… (tufikie malengo)
mwisho wa ziro… (tokomeza ziro)
mwisho wa ziro.. (kwa vitendo)
mwisho wa ziro… (tokomeza ziro)
kwa vitendo
[outro: kala jeremiah]
panda mbegu bora
kitabu ndio maisha yako
letras aleatórias
- letra de presente de natal - carlos gonzaga
- letra de twisted mass of burnt decay - urgehal
- letra de endetid - urgehal
- letra de blime! - ser deg - victor sotberg
- letra de jó riddim - victony
- letra de should i get going - leroy torawno
- letra de too early - whirlybird
- letra de you got me floatin' - styler
- letra de suffocate - roddy hart
- letra de łańcuch ii: korek - taco hemingway