letra de likizo - tahfia
[produced by igamba mbiu]
kapcha, big up
[chorus]
hii likizo ni ya kujibig up
adventure itadai
hii likizo ni ya kujibig up
nafika mazabe sijawai
hii likizo ni ya kujibig up
kubarizi na kulegalize
hii likizo ni ya kujibig up
hii likizo ni ya kujibig up
[verse]
nikianza sikuwaga stadhi
ndoano wala wavu sipati
i decided i wouldn’t keep searching
and not getting i had to reverse it
ikabidi nido mazimatics
figured how to bait it and to trap it
let the fish come to me and then catch it
soon enough tukashika samaki
moja mbili ikageuka malaki
and then all of my worries just vanished
and we made plans on how to expand it
and we haven’t looked back since we started
na tukiendelea kuchapa kazi
wacha tucelebrate ii safari
cause it’s all turning out like we planned it
yes it’s all turning out like we planned it
[chorus]
hii likizo ni ya kujibig up
adventure itadai
hii likizo ni ya kujibig up
nafika mazabe sijawai
hii likizo ni ya kujibig up
kubarizi na kulegalize
hii likizo ni ya kujibig up
hii likizo ni ya kujibig up
[verse]
had to step out of the city
nijifikishe mtwapa kaliki
pon di jetski tu kwenye mawimbi
sensi na kanywaji kabaridi
niko easy, nabarizi
kwenye boat tunacruise na mabinti
nikichonga mkakati dhabiti
nikichora ramani on these
ocean shores swimming with ice
potent pot keeping me right
on the floor feeling di vibe
moet mob mix it with wine
for the long grimacing nights
all them dawns we’ve been in line
got the wants we need in life
so fret not we will be fine
[chorus]
hii likizo ni ya kujibig up
adventure itadai
hii likizo ni ya kujibig up
nafika mazabe sijawai
hii likizo ni ya kujibig up
kubarizi na kulegalize
hii likizo ni ya kujibig up
hii likizo ni ya kujibig up
[verse]
and i’ve been going with tha flow
you should call me “tahf cardone”
cause at first i had quartoze
made it 10x like a pro (twende)
i was always on tha go
spending less when i gat doh
flipped my wins then let it grow
and i kept going with the flow
men i had to step out of the city
nijifikishe mtwapa kaliki
pon di jetski tu kwenye mawimbi
sensi na kanywaji kabaridi
[chorus]
hii likizo ni ya kujibig up
adventure itadai
hii likizo ni ya kujibig up
nafika mazabe sijawai
hii likizo ni ya kujibig up
kubarizi na kulegalize
hii likizo ni ya kujibig up
hii likizo ni ya kujibig up
letras aleatórias
- letra de roll out - yl (rap)
- letra de 8 cells - salty dalty
- letra de movin' on - muscadine bloodline
- letra de to meet you there (studio version) - anjimile
- letra de batiza-me - fernandinho
- letra de 미워도 사랑하니까 (even though i hate you, i love you) [special track] - davichi
- letra de autonomous mechanical extermination - antipathic
- letra de bubble - roxy kid x flamefucksake
- letra de combi - naxskunk477
- letra de walk the line - hammered overkill