
letra de viwanjani - t.i.d. "mnyama"
[pre-chorus: t.i.d.]
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
[verse 1: t.i.d.]
kwa kifupi nimefika, na nguvu zote kufunika
viwanjani kuwarusha, ngoma zangu zinabamba
huna budi kutingisha, nnachotaka kukuona unajirusha
mf-koni kama umekamilika, muziki mnene wa majani umebamba
[chorus: t.i.d.]
kina dada wote, kina kaka wote ‘leo, viwanjani
kina dada wote, kina kaka wote ‘leo, viwanjani
wakati ni huu, wakati umefika baby, viwanjani
wakati ni huu, wakati umefika baby
[hook 1: t.i.d. & saigon]
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah (ah-ha, ha, ah-ah), na kama kweli unanipenda
[verse 2: saigon]
uh, t.i.d., khalfan, saigon, shkopa
inasikika kwenye kipaza cha ladha shkopa [?] njoo, oh-oh, kiwanjani, shkopa
usione soo sema nae unayemuona shkopa
dj ana-, ‘scratch ki shkopa, ayeh, ayeh [?] huwa masela shkopa
njoo oh-oh, kiwanjani, shkopa
usione soo mshtue mwenzio atoke shkopa (shkopa, oh, oh), hii flow inanik-mbusha siku ya fiesta, njoo ‘k-mbuka kama unajisikia cheza
badmon side, t.i.d. shotta, khalfan shotta, i and i
topper, topper, topper, the topper-the topper-the topper-the topper, the topper (oy, oy, oy)
njoo, njoo, ‘saigon featuring t.i.d
[hook 2: t.i.d. & saigon]
sema ooh, ooh (njoo), tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh (oh, oh-oh), tingisha kama we unaweza (yoh, yoh), sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
[verse 3: t.i.d.]
flow ni tamu sana, unapocheza, umependeza (sing it), tingisha kiuno kama unapenda ragga (sing it, sing it), hii ngoma imebamba (sing it), unapocheza, (oh, yeah), (sing it), unapendeza (oh, no), midundo ya ragga, hii ngoma imebamba (sing it, sing it)
[post-chorus]
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
[instrumental outro]
letras aleatórias
- letra de the best of me - matt suarez
- letra de zal je altijd zien - faberyayo
- letra de had - lil ignorant
- letra de see the light - the como brothers
- letra de i was hoping you might be - fictionaleyez
- letra de bioluminescence - together to the stars
- letra de mo wa gbe o ga - dipo ara
- letra de adrenaline rush - lojique
- letra de save me from the monster in my head - welshly arms
- letra de villain - kris with a k