
letra de asha - t.i.d. "mnyama"
[intro]
uh!
[verse 1]
mwenzio niko taabani
mathalani ya hatiani
huk-mu yangu ni kifungo
na huyu binti (na huyu binti)
vicheche sasa mimi basi (basi)
ubachela mimi nauaga
majuk-mu nayapata, bae
riziki anatoa maanani
lazima mke w-ngu anijali
nakupa moyo w-ngu please usiutoboe
nnapo kuwa niko busy
tafadhali usinichukie
natafuta pesa
natafuta pesa
[chorus]
roho yangu inachoma sana (mimi)
lini nitakuwa na pesa
nimuoe asha
roho yangu inachoma sana (mimi)
lini nitakuwa na pesa
nimuoe asha
itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
pamoja na wazazi, ‘siku yetu ya harusi
nakupa moyo w-ngu please don’t hurt me (don’t hurt me)
nafsi yangu, ‘nafsi yangu imetua kwako
itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
pamoja na wazazi, ‘siku yetu ya harusi
nakupa moyo w-ngu please don’t hurt me (don’t hurt me)
nafsi yangu, ‘nafsi yangu imetua kwako
roho yangu inachoma sana (mimi, lini)
lini nitakuwa na pesa (pesa)
nimuoe asha (asha)
roho yangu inachoma sana (mimi, ooh-ooh)
lini nitakuwa na pesa (pesa, baby)
nimuoe asha (? girl)
you’re my heart, my pain, my (?), my (?), my star, my love
you’re my angel
you’re my heart, my pain, my (?), my (?), my star, my love
you’re my angel
[chorus]
roho yangu inachoma sana (mimi)
lini nitakuwa na pesa
nimuoe asha
roho yangu inachoma sana (mimi)
lini nitakuwa na pesa
nimuoe asha
letras aleatórias
- letra de fotografías - newtro
- letra de lying in wait - weathered
- letra de 5000km - la gale
- letra de 70 cl - ivoxgonza
- letra de le banc - grand corps malade
- letra de burgundy part 2: freestyle - shelrock of thug mentality
- letra de been the man - tinie tempah
- letra de soldier - tacit
- letra de sad song - cigarette ash
- letra de i am... - adam warrock