letra de kwa mfano remix 2 - sunny voice
intro
hambawe, hambawe, hambawe, hambawe
hambawe, hambawe, hambawe
verse 1
kwa mfano uliona wapi kisa tumeachana ndo uondoke na nguo zangu
kwa mfano uliona wapi nishindwe kunenepa unawili tu, ex w-ngu
kwa mfano iko wapi maktaba ya mapenzi nikasome nimalize vitabu
kwa mfano kwa maana naachwa kila siku na sijui sababu
natamani uwongo, uwongo siutaki maana mapenzi yananitesa mwenzenu
mistaki, inatosha, basi kuumizwa, basi nimekoma mwenzenu
yanini naumizwa unaona, sir god niumilie mola w-ngu
mistaki kaniona fala, nimempa penzi kaniumiza mwenzangu
chorus
nafsi yangu nilikupa unitunze mpenzi ila wenye pesa walikudanganya
mapenzi ukasaliti na ukanikana ukaniacha dunia ikiniandama
kuwa nawe tena haitowezekana mpenzi nishampata ambaye tunapendana
ulinipa majeraha makubwa moyoni ila nimemuachia maulana
verse 2
kwa mfano ulisikia wapi unapata hisia kwa mtu uliyemfumania
kwa mfano ulisikia wapi unammisi mtu ambaye amekununia
kwa mfano ulitaka nisizini na wakati unanibania
kwa mfano kuna muda nawaza nachoka natamani hata kukwambia
mistaki mbona mwanzoni sisi s’apa tulipenda, ugomvi mi siwezi
mistaki mambo gani vitasa, tunapigana kurumbana siwezi
yanini nak-mbuka zamani tulipendana, ooh imekuaje kipenzi
mistaki nasikia hivi sasa wewe umepata mpenzi
verse 3
dah ulichokikosa kw-ngu ukakipate huko uendako, anjera
nitak-misi mwenzangu na vyako vituko, umeniacha wanjera
ulikuwa mwanangu, kipenzi changu, imekuaje wanjera
sio bahati yangu, sio riziki yangu, mapenzi yanakera
chorus
nafsi yangu nilikupa unitunze mpenzi ila wenye pesa walikudanganya
mapenzi ukasaliti na ukanikana ukaniacha dunia ikiniandama
kuwa nawe tena haitowezekana mpenzi nishampata ambaye tunapendana
ulinipa majeraha makubwa moyoni ila nimemuachia maulana
verse
nawaza kwa mfano adamu kama asingelikula tunda mapenzi yangekuwa wapi
kwa mfano nisingetaka mapenzi kujiusisha nayo, vipi ungenisaliti
kwa mfano kama mimi tu ulinicheat vile, je uliye naye utamcheat vipi
kwa mfano utaelekea wapi siku na yeye akisema hakutaki
natamani nifunike ukurasa wa mapenzi nisijisumbue kusoma
mistaki, mistaki kuyasikia mapenzi nisije nikazikwa kwa ngoma
yanini kutwa niyalilie mapenzi wakati hata njuruku sina
mistaki, mistaki kuyasikia mapenzi nisije nikazikwa kwa ngoma
chorus / outro
nafsi yangu nilikupa unitunze mpenzi ila wenye pesa walikudanganya
mapenzi ukasaliti na ukanikana ukaniacha dunia ikiniandama
kuwa nawe tena haitowezekana mpenzi nishampata ambaye tunapendana
ulinipa majeraha makubwa moyoni ila nimemuachia maulana
hambawe, hambawe, hambawe, hambawe
hambawe, hambawe, hambawe
letras aleatórias
- letra de calvim kleim - vitx jkré
- letra de 끝난 사이 (it's over) - boramiyu
- letra de make you love me - melvin hein
- letra de barrio - ejm (rappeur), rotka
- letra de ride or die (version 2) - santino le saint
- letra de zvichanaka - freeman hkd
- letra de fine lines - jenna may
- letra de final resistance - eyes wide open
- letra de get back - bojack
- letra de scuze (demo) - oscar