letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wireless - so-lo (tz)

Loading...

[intro]
solo solo solo
solo solo solo
kino, motz
ey, washa

[chorus]
washa wireless
washa wireless
washa wireless
mwanao ethiopia
washa wireless
washa wireless
washa wireless
mwanao ethiopia
washa washa washa wee
washa washa washa washa wewe
washa washa washa washa wewe
washa washa washa washa wewe

[pre-hook]
uki-hustle nasi n-gga kamwe hutapata hasara, hasara
so ndo masela wa mtaa si ndo masela ma-hustler, ma-hustler, hustlers
stori ya kwanza ya kuzungumzia hapa ni hela, ni hela ni hela
ni relax music bako motz na king wa mitaa, wa mitaa, wa mitaa

[hook]
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa

[verse 1]
sina muda wa kulala mchana jioni usiku kuchee asubuhi
sina hata muda wa kula na kwa siku nakula milo mingapi sijui
sio kama sina hela wanangu wameshawafunga jela
bora tutafute hela mwanangu popote popote penya
usiogope kudanja my n-gga death is coming for you anyway
unaposaka mkwanja kaza kama kibeberu ‘meee’
tukimiliki majumba ya kifahari na magari itakuwa ok
mwanangu washa kwanza wireless
niwabane vijana na wazee
w-ng’apang’apa wanabana nami nataka mambo niwapostie, so

[chorus]
washa wireless
washa wireless
washa wireless
mwanao ethiopia
washa wireless
washa wireless
washa wireless
mwanao ethiopia
washa washa washa wee
washa washa washa washa wewe
washa washa washa washa wewe
washa washa washa washa wewe

[pre-hook 2]
tunaposaka pesa tunatangulizaga hasira, hasira
bako motz anagonga kick tena kwa hasira, hasira, hasira
madem wanasaka pesa wanadanga tena kwa hasira, hasira, hasira
ni mr. bk wanasema mi ndo king wa mitaa, wa mitaa, wa mitaa

[hook]
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa
n-gga na-hustle kitaa
n-gga na-hustle kitaa natafuta chapaa

[verse 2]
get it get it n-gga don’t stop
ikibidi chupa pop pop
tumezidi kula bata mzinga tushushie na wa bapa
tatizo bundle la data limenikata nimeshadata
my n-gga jimmy you know ujinga kuwahi ujanja kupata
kama ni zali lako basi pata
hakuna kali basi dry washa
hizi ni stimu kali ukirusha utajikuta umevimba kwa vitasa
mida ya pesa, biashara
hapa ni vitu mubashara
n-gga nawasha wireless nawapa mashabiki wote raha, ah

[outro]
washa wireless
washa wireless
washa wireless
mwanao ethiopia
washa washa
mwanao ethiopia
washa washa washa wee
washa washa washa washa weee
washa washa washa washa wewe
washa washa washa washa wewe

so-lo
relax the music

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...