letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de m.a.a.d city freestyle - so-lo (tz)

Loading...

intro (so-lo)

yeah solo solo solo
motz what up
this is our sh-t right here n-gga
huh, so-lo, skia, yo

verse 1 (so-lo)

laki bukubuku nikichanga napata
na ugali chukuchuku nashiba adi nadata
na utotoni niliimba wimbo wa madogo mabata
ila sasa nnavyoimbaga watoto ndo wanadata

nipo mimi na saidi wanatuona makaidi tulianza kula widi tangu darasa la sa-ba
sikukuu ya iddy ukiwa mtoto iddy ukitaka kufaidi kacheze kibaba ba-ba

mama alinihusia maruf-ku kuzubaa
usipokuwa makini nakuacha kwenye mataa
kilichofatia ni kibao mbele songa
nami tangu siku hiyo sijawahi kushangaa, ah

polisi ka kosa sina worry sina sorry sina stori sina ngori mini warrior escobar
kichwani boshori sina shobo wala shori natubu dhambi am sorry sa naleta kwako toba

maana, juzi, juzi, jana
nlikuwa na mwanangu leo tumemzika rama
ee baba tuonee huruma duuh
maisha machungu na mafupi, rudi tu

j-po tulipo ni mtaani tunaishi kama motoni
sikutazami usoni ka sina kitu mf-koni
nawatekenya vichomi maana nna flow za kisomi
flow za peponi kali ni hizi flow za motoni

okay leo, kesho, kutwa, mwaka
tisini na tisini na nlizaliwa dar
kuishi kuishi kwingi k-menfunza kukomaa
j-po marafiki wengi wachache ndo wanafaa

solo wa kitaa mhuni niliyesoma shule
king wa mitaa n solo yuleyule
mi nasaka pay mi na’pay sili bure
nawashika hawa wale hapa mpaka kule

mi ni upepo we bendera so nifuate popote
ukinifuata hata siku moja hupotei
mi ni bingwa hata siku moja siotei
ngoma easy kali mziki unapanda bei

yeah, usikae kizembe n-gga kitaa kimepinda
vita sio beef ukizingua nakuwinda
usinione young ukanichukulia kinda
watu wana laana toka wapo kwenye mi…

interlude (kimbunga mchawi)
hahaa, yeah
and this is real hip hop
hahaa, eeeeh new talent from the street
and this is how we do
yeah, so-lo tz, hold on

let’s go, again, republican

verse 2 (so-lo)

life ina’change na hata kama hawapendi
up na’spend na tena under na’stand
any situation nipo wima si’bend
range, kamwe siwezi kushindana na semi

waambie rap ni soka na hizi ndo danadana
kipaji bwana matobo kanzu wanavaa sana
na chenga nnazowapiga mabeki ndo wanakabana kiwanja copa cabana kibongobongo wanabana

aiyanai ki’rass rass nawasabahi
nawapa hi ka dully sykes hawakatai
nshapata site na’buy time nauza rhymes
kama mbwai mbwai kama unajijua backbiter
nna lighter na zigi nawa’bite kama gwiji tena nawatanabaisha wapaishane vipi??!
wakae kwenye viti mi nakaa beat ya bako motz waji’compare na mi

interlude 2 (so-lo)
ukiambiwa kuwa tulishapewa wake kwa ajili ya kuchana kwa shughuli kama hizi utakubali??
utashindwa vipi kuamini kwa verse kama hizi ambazo zinakuja
here we go, twende

verse 3 (so-lo)

rusha mikono juu ka unanipata mzee
naona masister duu ndo wanadata mzee
wana upande huu wamewaka mzee, hapa nikisanga bongo fleva na vanga mzee

nafungua chapter nyingine che kuwa’capture
nawatisha kama kifo nawazika mazakafa
wanabaki na mashaka, pkp ka mapacha
si tume’relax na bako wao matako yanawasha

haha, makalio yanawasha, hawatulii ka wanatafuta basha

sa nimechill na ma baby girl sasha ndo ma-ex wanafeel kuwa ni soo kama pasha
sa vile mimi na sasha tupo close ka mapacha nikichacha
hakatai surprise ya kashata na chachacha
yaa na sometimes nikirudi na bahasha anajua kwamba ni bata kushesha kuvesha ni mikasi na kukesha kama cnn

hehe, we done here bako

outro (kimbunga mchawi)

(laugh)
tunaitawala dar es salaam kama vile ghetto kwetu
vita, one two one two, face to face
eehee, freestyle

solo tz, bako motz, relax music

kimbunga mchawi, wachawi republican

again

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...