letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de gangsta city - smunchiez

Loading...

[verse]
real vela boyz nipate macho ni mellow
one wrong move nakutrace na areef yangu eskido
juu ya doh tuna forge hadi paper works
by any necessary means lazima tu live
deeds n-z-fulfil after kulipa codes za streets fee
peng ting chizi zii
nilimshow biz first before a go on her knees
one for the team aliplead
alidoo the most for ten geez
elewa me natengeneza ganji ganji hainitengenezi
keki kubwa tunaigawa kwa scale
ukisnitch hauezi evade
loyalty tunaipreserve kaa blunt ya mwisho ya shash
unabonga sana kaa alligator inakohoa
haujui hii univеrse ni ya maape unaezabakishwa kеroma
nimedunga bape juu chini drip ni bila comma
nakam nimeiwasha ni doh itokee ama ni rapture
hakuna pitt stops ni hadi tufike niwafeed kwa mamba
fala hatukujali alipiganishwa hadi kaa amelala
ongea poa ama tukueke poa
hapa situation ni u fit in
usitrip please
kata cheque inafigures
fiti
aaah

[chrous]
hii nairobi ni gangsta city
ukichukuwa yangu nachukuwa yako
link ni mingi(link ni mingi, link ni mingi)
hii nairobi ni gangsta city
ukichukuwa yangu nachukuwa yako
link ni mingi(link ni mingi)
hii nairobi ni gangsta city
ukichukuwa yangu nachukuwa yako
link ni mingi(link ni mingi)

[verse]
ata iwe photocopy aje hawezi ni copy
operation jenga jina ilizimwa na binja
ndani yake tuliwapandisha fever
tactics timing ni ya kimathematics
after kuenda missing
mwili ulipatikana north pole arctic
tunasin in silence na silencer
hatuattract scene
gunga safi inaenda chain
ikirudi inarudi na number
statistics ziliendelea kucountiwa tangu jana
nasijarudi kejani so matha ajalala
naendelea k-muombea risala
nafanya fasta bila kugwaya
doh n-z-tuck in tukiendelea kujaza
akikata kubonga ni mabulbwire hadi kwa rasa
la vida loca
makarao wakicome tulishaondoka
mwiko au shoka zote muhimu
inategemea ni wakati gani
kwa highway foreign naifinya zaidi ya soo
mr ceo collymore
cv imejaa titles more
siezi retreat ata uniitie treat
mtaani k-megatha so halloween hatuendani trigger treat
mabeast huku east
hawa hesitate kusqueeze trigger
kukutuma six foot deep
aaah
mabeast huku east
hawa hesitate kukusqueezia trigger
kukutuma six foot deep
aaah

[chrous]
hii nairobi ni gangsta city
ukichukuwa yangu nachukuwa yako
link ni mingi(link ni mingi, link ni mingi)
hii nairobi ni gangsta city
ukichukuwa yangu nachukuwa yako
link ni mingi(link ni mingi)
hii nairobi ni gangsta city
ukichukuwa yangu nachukuwa yako
link ni mingi(link ni mingi)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...