letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yote yatajiri - slimsal

Loading...

[intro]
unayoyatamani yote yatajiri…

[verse 1]
ndoto za maninja ni kuja kutembea na all stars
wakati mtaani kuna sista ambaye ashatembea na all stars
oscar anamuota wolper, wolper anaiota oscar
oscar haendani na wolper, na wolper haendani na oscar
wakikutana watakuwa dream team, so obvious wataendela kuota
sijui nani awaambie don’t sleep wake up and focus
we unataka kuwa aliko dangote na dangote nae anatakuwa aliko dangote awotee..
we unataka kuwa aliko dangote na dangote nae anatakuwa aliko dangote na istoshe..
unayoyatamani yote yatajiri
ina mmoja lazma awe juu, mwengine chini
na aliyejuu (aliye juu) usimfuate juu (usimfuate juu)
sababu aliye juu (sababu aliye juu) ni mungu tu (mungu tu)
usipende sana kutolea macho kila kitu tu
sababu kuna vitu vinginе ni vitunguu

[hook]
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea еndelea endelea (kuota)
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)
[bridge]
whats my name, whats my name (slimsal)
and what you want what you want (go fast)
eheh hey tunchy… wanataka niende faster
welcome to blind let’s go

[verse 2]
mi siuzi sura wala sina sura mbaya wala sinunui sura ya sista du au ya malaya
hata kama visura wanauza sura bei mbaya, sura zao zikiziona zetu zinaona haya
masudi sura mbaya mwenye pesa hana sura mbaya, sura nzuri bila pesa hiyo sura mbaya
wataonuna wakiliona hili sura haya, sura watazikunja mpaka zitagusa taya
suruali lenye pesa limetuna mbaya, suruali bila pesa inanuka mbaya
kasuruali bila pesa kanavyokupwa, ukiweka pesa ndani kanakuwa sawa
sisi sote tupo sawa, (sawa eeh), ila hatuko sawasawa (sawa sawa eh)
sawa sawa na kusema sawa k-mbe sio sawa, sawa na kutaka usawa ccm na ukawa
na mkawa mnabishana kwa vibanda vya kahawa, kuhusu mimi, wewe, huyu, yule, wale, hawa
kama kawa kama dawa sumu na sumu ni dawa, kama sumu sio dawa, dawa ya mbu sumu dawa
unamchukia osamba, au unamchukia obama, unamjua osama ndevu kuliko mambo aliyofanya
ukimjua kwa kirefu unaweza kuwa ka obama, utachana unavyocha hauwezi kuwa cowbama
hujui ya kwamba mw-nga ndo mwenye nguvu za giza, na giza likishatanda ndo mw-nga unaeza katiza
asubuhi mchana mw-nga na kisha usiku ndo giza, ka unataka k-muona mw-nga subiria kiza (blind)
ukawa unasema tuondoke haututaki, mi nikawaambia washkaji zangu sisi em tubaki

[hook]
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)
unayoyatamani yote yatajiri (go hard)
endelea endelea endelea (kuota)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...