letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sudan - skinshape

Loading...

eh sudani sudan oh sudan
(oh sudan)

kweli sudan ume kosea nini
(really sudan, what have you done wrong?)

wewe ndugu na yule ni dadako
(you’re a brother, that’s your sister)

rangi ni moja na damu ni moja
(the same skin colour and the same blood)

vita ni vya nini na yule jirani
(why is there war with your neighbour)

mbona nyinyi nyote mwakoseana
(why are you all arguing?)

chuki ya nini na huyu mwenzako
(why is there hatred between you and your comrade)

uache vita kweli is noti good
(stop the war, it’s not good)

wallahi nyie mnatesana
(by god, you are making each other suffer)

oh sudan oh sudani sudan
(oh sudan)

wacha vita mama
(stop the war, mama)

eh sudani sudan tulia tulia
(hey sudan, be quiet)

usidanganywe na hawa ma babylon
(don’t be fooled by those people with bad intentions)

ukaanza k-maliza we wenzako
(so that you will end your comrade)

utajuta vile we utabaki alone
(you will regret as you’ll remain all alone)

utalia machozi ya mulala hoi
(you will cry the tears of the poor)

shikaneni mikono
(join hands)

muwe nyote pamoja
(so that you’re all together)

wallahi wacha vita mama
(by god, stop the war, mama)

tushikane mikono tuwe pamoja
(let’s all join hands and be together)

oh sudan oh sudani sudan
(oh sudan)

wacha vita mama
(stop the war, mama)

sudani sudan tulia tulia
(sudan, be quiet)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...