letra de mr polisi - skeme music feat. qoqo
yeah (psych)
skeme music jameni
skeme music jameni
qoqo
yeah
nipe psych
nipe psych
nipe psych
nipe psych
yeah yeah
life ilikua fiti kiwa myoung
kusosi kwa mathe
share koroboi bed siste na brathe
suddenly system kukwara dikwara ndio para
kusn-tch masimu vibeti kwa roadie
kuhepa boarding na scolding na moulding
mayout mbona mnashoot
uongo si collo si drugs
io ni issue wasee wanadrag
alafu nowadays
akuna kusanya mambao
tisa na lock ya mbao
ni ndenga mchuma mazishi misa afta jo kusanya mathao
it’s so sad in nairobi eastlands
the yout man is being k!lled ata kama hajafika mbao
madem pia wameingia kwa game
masling mapetco kusunda kimali online ni fame chachisha,
kamisha kamishna lalisha
ipoa nao wamepoa
nishike nipeleke ndani usipige risasi
usifiche jo id ya shule ueke risasi
usitupe basi mwili pea wazazi wazike
please mr. polisi yeah
r. i. p joh ni mingi
r. i. p mpaka lini
nishike nipeleke ndani usi shoot jo polisi
mr polisi yeah
maboy wako ndani madem wako ndani ma hawker wako ndani
wasom wako ndani na whoa
polisi mr polisi yeah aya
please mr. polisi yeah
r. i. p joh ni mingi
r. i. p mpaka lini
nishike nipeleke ndani usi shoot jo polisi
mr polisi yeah
na chokosh ako ndani na mathe ako ndani na buda ako ndani
wasupa wako ndani na whoa
police mr polisi yeah aya
tusha smama washa anza ku search
washa anza ku tupa matusi ni catch
washaanza kunshow vile mi nime sag
wantaka nitoe ma chain nime vaa
mr police first of all mina rights
chenye na vaa siwe ndio uli buy
ka ina tisha au ka ni suspicious ni approach ka aagh
as a matter of fact
mr. polisi we una faa kuni linda
vita si lazima nionyeshe upendo bro heshima
juu una washa moto huezi zima
una onyesha nani we ni simba
buda we ni human
mimi pia
funny ma youth wana live in fear
mi na jua una skia so na make it clear
wana inchi ndio inchi ma youth wana taka respect my dear
nishike nipeleke ndani, una shoot bila swali
watoto wako wako mtaani chilling
kwani huna feeling
si rahisi ku zika na wewe uko mtaani sleeping
kenya ili jengwa na siku ngapi
we unataka kui mada na mbili
mwili plus akili
si wote human so tuta kufa so ata uki shoot una pata nini sema
please mr. polisi yeah
r. i. p joh ni mingi
r. i. p mpaka lini
nishike nipeleke ndani usi shoot jo polisi
mr polisi yeah
maboy wako ndani madem wako ndani ma hawker wako ndani
wasom wako ndani na whoa
polisi mr polisi yeah aya
please mr. polisi yeah
r. i. p joh ni mingi
r. i. p mpaka lini
nishike nipeleke ndani usi shoot jo polisi
mr polisi yeah
na chokosh ako ndani na mathe ako ndani na buda ako ndani
wasupa wako ndani na whoa
police mr polisi yeah aya
mr. polisi
mr. polisi
mr. polisi
mr. polisi
harassment indeed
watching us bleed
polisi don’t proceed
harassment indeed
watching us bleed
polisi don’t proceed
please mr. polisi yeah
r. i. p joh ni mingi
r. i. p mpaka lini
nishike nipeleke ndani usi shoot jo polisi
mr polisi yeah
maboy wako ndani madem wako ndani ma hawker wako ndani
wasom wako ndani na whoa
polisi mr polisi yeah aya
please mr. polisi yeah
r. i. p joh ni mingi
r. i. p mpaka lini
nishike nipeleke ndani usi shoot jo polisi
mr polisi yeah
na chokosh ako ndani na mathe ako ndani na buda ako ndani
wasupa wako ndani na whoa
police mr polisi yeah aya
polisi jo
maboy wako ndani madem wako ndani
ma hawker wako ndani wa som wako ndani na whoa
letras aleatórias
- letra de to jeszcze nie wszystko - toczek
- letra de gold - bryan finlay & rival
- letra de 2pac, outlawz, bone thugz - gun 'em down - dj chop up
- letra de elite - rhenium
- letra de trust in love - mayday hobby
- letra de fronting (표정관리) - seventeen
- letra de ricchi per sempre - aziz noir
- letra de too close (alex clare cover) - arianna afsar
- letra de the hunter's heart - gygax
- letra de cat people - shooter jennings