letra de our cry - sirhustler
asiye skia la mkuu huvujika guu maneneno mataam nakupa tu kama asali
ni aitha uyaskie ama ukose juu life ni yako niwe ku chagua
mengi nimepitia katika dunia na mungu kanibariki na dhania
siwezi kudanganya yahe adui kwa siku za mwizi ni arubaini
kukubwa nimekubwa na matatizo vinyaa ni kapata hata bila tatizo
na kwa hayo nasema na nitazidi
kusema na kwa hayo nasema aaa
chorus
we are crying for a good starting
we are crying for a good ending every time we cry, we cry we cry
we are crying for a good starting
we are crying for a good ending every time we cry, we cry we cry
verse
begging yetu tunataka i we poa na ending yetu tunataka iwe same
tunapo wa choose sisi maskini mema tujivunia toka kwenyu nyinyi
lakini kinyume mbona mwatenda seria kwa kusahau sisi turio wa chagua
maskini kwa tajiri hatutoshani biashara kuzorata na pia kazi
elimu kunyimwa hata chakula amani kukosha hata ma kwetu
rape cases kuincrease na pia corruption
nepotism tribalism zote za sh-gaa na after five years mnataka another chance
mkisahau kuw w-ngwan ni vitendo sing
chorus
we are crying for a good starting
we are crying for a good ending every time we cry, we cry we cry
we are crying for a good starting
we are crying for a good ending every time we cry, we cry we cry
kuchange life itaanzia kwetu sisi tujitolee kuvote na kula zetu wenyewe
kaa mtu ni mw-ngwana twavote yeye na kaa sio mgwana twa mtema kaa masau
haina haja tujinyanyashe bure
elimu afya amani ni vitu twahitaji nchi iendelee naili tushonge mbere
wengi wavut-tiwe na yetu mazingira nchi iwe kaa nyota juu ya angaa
iwe yenye uzalendo usio kipimo mw-ngaza uenee magharibi mashariki
kwa kujivunie good beggining na good ending tujivunie mwanzo na
pia mwisho cause
chorus
we are crying for a good starting
we are crying for a good ending every time we cry, we cry we cry
we are crying for a good starting
we are crying for a good ending every time we cry, we cry we cry
letras aleatórias
- letra de voz na multidão - blind pigs
- letra de in the tub - ms. peachez
- letra de go to town - lily allen
- letra de ocupao - russel smoker
- letra de durden - we are imaginary
- letra de verdiløs - a diaboli (no)
- letra de the drovers - wesley willis
- letra de illusionist - shannah van geldern
- letra de apathetic boys - overcoats
- letra de ghostly - jordyne