letra de kitu cha maana - sir yongo
[verse 1]
moja, mbili, tatu (it’s sir yongo!)
akili zangu tatu
mnakanyagiwa, kama soli za viatu
nikiruka tiktaka
madem wananitaka
na mimi siwataki
ninachotaka malaki
yaani ganji
feel the music ni punchy
chini ya maji
ninasaka ganji
wala sitamani, kamwe kuwa broke
ninataka money, ninataka dough
maisha ya thamani, yanataka form
hadi waniulize, “where are you from?”
nami niwaambie, “kwale is where i’m from”
hadi waniulize, “where are you from?”
nami niwaambie, “kwale is where i’m from”
[chorus]
kitu cha maana, ni kusaka pesa
uf-kara ndio utakutesa
pesa
yeah, yeah
chase the bag, chase the bag
yeah, yeah (that way!)
kitu cha maana, ni kusaka pesa
uf-kara ndio utakutesa
pesa (which way?)
yeah, yeah
chase the bag, chase the bag, chase thе bag, bag (that way!)
yeah, yeah
[verse 2]
niko na ndoto ya kuomoka
bonge la m-rangе nikitononoka
nyumba ya kifahari, ya kule n’nakotoka
sherehe kwa bahari, nile ‘nachotaka
kunywa sharubati, na mrembo nimempakata
ama popcorn na movie tukitaka
(ama porpcorn na movie tukitaka)
ama porpcorn na movie tukitaka
maisha matamu, mafupi
kinachokutesa ni kipi?
unachotamani ni kipi?
na ndoto za kwako ni zipi?
you gotta live, you have a life to live
it’s never easy, just believe yourself
when you hustle, just believe you can
in the struggle, just focus to win
yeah, just focus to win, it’s gonna be alright
just focus to win, it’s gonna be alright
[chorus]
kitu cha maana, ni kusaka pesa
uf-kara ndio utakutesa
pesa
yeah, yeah
chase the bag, chase the bag
yeah, yeah (that way!)
kitu cha maana, ni kusaka pesa
uf-kara ndio utakutesa
pesa (which way?)
yeah, yeah
chase the bag, chase the bag, chase the bag, bag (that way!)
yeah, yeah
[outro]
kitu cha maana, ni kusaka pesa
uf-kara ndio utakutesa
yaani, pesa
we just chase the bag, pesa
sir yongo
letras aleatórias
- letra de hail, ra-harakhite - graham bond
- letra de queen of surry hills - dave steel and the roadside prophets
- letra de freedom - hammerfall
- letra de zoveš me - rade lacković
- letra de spiral - dreyspurpo
- letra de agia leshama - אגיע לשמה - eliya halfon - אליה חלפון
- letra de in love with an ai - goddess fiji
- letra de ham midai - חם מדי - noroz - נורוז
- letra de hi-hat (snippet) - kollegah
- letra de balenciaga - ynkeumalice