letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de salama rohoni - sheddy

Loading...

[verse 1]
nionapo amani kama shwari
ama nionapo shida
kwa mambo yote umenijulisha
ni salama rohoni mw-ngu

[chorus]
salama rohoni,
ni salama rohoni mw-ngu

[verse 2]
ingawa shetani atanitesa
nitajipa moyo kwani
kristo ameuona unyonge w-ngu
amekufa kwa roho yangu

[chorus]
salama rohoni,
ni salama rohoni mw-ngu

[verse 3]
dhambi zangu zote wala si nusu
zimewekwa msalabani
wala sichukui laana yake
ni salama rohoni mw-ngu

[chorus]
salama rohoni,
ni salama rohoni mw-ngu

[verse 4]
eh bwana himiza siku ya kuja
parapanda itakapolia
utakaposhuka sitaogopa
maana ni salama rohoni mw-ngu

[chorus]
salama rohoni,
ni salama rohoni mw-ngu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...