letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nyumbani - shama

Loading...

i want to go where the sun is shining
where the people are nice and the food is sweet
mahali nipo ni baridi sana

nataka kurudi nyumbani

nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama

wajua vijana lazima tutatembea
nakuona dunia eh
lakini mwisho tukishachoka
tutarudi mwanzo eh

nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama

nitarudi
nairobi kenya eh
nitarudi
mombasa diani
nitarudi
na kule kinshasa
nitarudi
nitarudi nyumbani

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...