letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de baba mlevi - sele minamba

Loading...

magic sound
osh jina langu refu kama tren
ahh chuchu eeeh
oh sele man minoo twende nao
mi na j fant hatuuna mambo mengi
munno the k!ller

baba mlevi mama mzee
kaka yupo deben na tayari
kajichenga tangu enzi zile

baba mlevi mama mzee
kaka yupo johannesburg tayari
kajichenga tangu enzi zile

we kaka lini utarudi bongo
uje kuzikizi longolongo
maana bongo hakuna michongo
ukizidisha usela kuna rondo na kipondo

ukiiba unaenda jela
ukikosekana unachomwa moto
unaenda ahera

na mtaani tukiona form tu mbio
panya road wakipita wanaacha vilio
mtaa wa pili utaskia kuna matukio
hata mbwa anabweka ndani ya uzio
mama afya za hofu hali
ana miaka sitini na mbili
ushamtupa umr anatukatisha tamaa
akilitaja kaburi

ila baba hana habari akirudi
yupo tungi na mikausho mikali
hamjulii hata hali
akitoka saa k-mi na mbili anarudi saa mbili

ungerudi ungekuja kujione
majuk-mu yanavyo nielemea
ungerudi ungekuja kujione
majuk-mu ndiyo yanavyo nielemea

baba mlevi mama mzee
kaka yupo dеben na tayari
kajichenga tangu enzi zilе

baba mlevi mama mzee
kaka yupo johannesburg tayari
kajichenga tangu enzi zile

kaka mwanao anaenda race kakurithi
mtaani kila siku zinakuja kesi
bi mkubwa anampa wasiwasi
juzi kafosi sizo kwenye geti la polisi
mwanao sio mstarabu gadhabu
ana kesi shule kachana vitabu
baba ndivyo alivyo mlevi
siku nyingine -n-lala zake vilabuni

mama ndivyo alivyo mgonjwa
hana dawa anakosa matibabu
mama kusali anasali sana
k-muomba mungu amjalie uzima

ila bado tabu
muda mwingine -n-lia usiku
mbavu zinamuuma

mama kusali anasali sana
k-muomba mungu amjalie uzima
ila bado tabu
muda mwingine -n-lia usiku
mbavu zinamuuma

namuonea huruma
maana hakuna kama mama
namuonea huruma
maana hakuna kama mama

lini utarudi bongo bro
baba ana lose
lini utarudi bongo bro
baba ana lose
lini utarudi bongo
sasa narudi nyumbani
apo tunabonyeza reli
au ndiyo tunabonyeza reli

muno on the track

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...