letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de number one - scott montana

Loading...

intr
oh mamaa mama mama x 3
oh maa

verse 1
mw-nga uking’aa naona ni mabalaa
ninakosa pesa ninazubaa
nivumilie usinipe kif-gio
upalilie mti kwa matarajio

niishi nawe
nidekeze
nife nawe nielewe
nikikosa nibembeleze
moyo w-ngu uniteke

wewe ni mama w-ngu nyota
nikulinde kama solder
upendo w-ngu haupimiki
nakuimbia muziki

bridge
tusikilizane tutayashinda
tuombeane tusimame wima
imara tutimize lake jina
tuzidi nyenyekea kwenye kina ah x2
chorus
my number one
my number one
my number one
my number one

my number one
my number one
my number one
my number one

verse 2
tazama nyota na mwezi
ni vitu za angani
vinavyo ng’aa
tuzidi kupambania safari

hata kama nakufanyia madogo
usichoke vumilia niko msoto
nikikosa usinipe na kisogo
nipende hata kama nina kasoro

hakuna mtu anataka mabaa we
wala kupigwa mawe
matatizo yatapita we
nipe muda yatakwisha
bridge
tusikilizane tutayashinda
tuombeane tusimame wima
imara tutimize lake jina
tuzidi nyenyekea kwenye kina ah x2

chorus
my number one
my number one
my number one
my number one

my number one
my number one
my number one
my number one

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...