letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nawe - scott montana

Loading...

verse 1
si unajua
iwapo jeraha
umeliponya
umenipa raha

unanipenda saana
umenionjesha ladha
mi dere we kondaa
mi pete wendo chanda

hadithi urongo tam
koleza sana mam
vindimndim nyam
koleza kwenye pan
si unajua napenda unavyo jishaua

bridget
ah we ndo ndo ndo
w-ngu wa moyo yo
kitutenge kifo
napenda ulivyo

hata wanene wo wo wo
sing’oki no no
nimeganda kama ulimbo
nakupenda ivo
chorus
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe

tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufikе mbali nawe

verse 2
na sina hеla
hujanioendea visenti
sina umaarufu wa gazeti
ila kidogo twa budget

usicho kipenda chunga usinifanyie na mimi
aahh
elewa moody zangu usije gombana na mii

bridget
ah we ndo ndo ndo
w-ngu wa moyo yo
kitutenge kifo
napenda ulivyo
hata wanene wo wo wo
sing’oki no no
nimeganda kama ulimbo
nakupenda ivo

chorus
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe

tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe
tufike mbali nawe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...