letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de watumishi wake baba - sauti tamu melodies

Loading...

watumishi wake baba w-ngapi waliopo
wanakula na kusaza chakula chake baba

nami – nami nataabika hapa
nashi – nashiriki na nguruwe
chaku – chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita – nitarudi na kusema
baba – baba yangu nisamehe
nime – nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
akakimbia k-mlaki kamk-mbata na busu

nami – nami nataabika hapa
nashi – nashiriki na nguruwe
chaku – chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita – nitarudi na kusema
baba – baba yangu nisamehe
nime – nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba sistahili tena kuitwa mwana wako
unifanye kama mmoja wa watumishi wako

nami – nami nataabika hapa
nashi – nashiriki na nguruwe
chaku – chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita – nitarudi na kusema
baba – baba yangu nisamehe
nime – nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba
baba yangu nimekosa ninaomba huruma
unisamehe nirudi nikakutumikie

nami – nami nataabika hapa
nashi – nashiriki na nguruwe
chaku – chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita – nitarudi na kusema
baba – baba yangu nisamehe
nime – nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
meza imeandaliwa inaningoja mimi

nami – nami nataabika hapa
nashi – nashiriki na nguruwe
chaku – chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita – nitarudi na kusema
baba – baba yangu nisamehe
nime – nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

nasogea ninakuja ninakukimbilia
mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee

nami – nami nataabika hapa
nashi – nashiriki na nguruwe
chaku – chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita – nitarudi na kusema
baba – baba yangu nisamehe
nime – nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...