letra de nakuwaza nikimedi - sauceboiz
(verse 1: ke9)
ushaipata nia ya kupata mia mia
i gotta be here nikibonga mnasikia pia
silete vako zenyu za kichina here near
add a gear turn ya favorite d-mn chapter
nakupangia kukuzima na tap tap
scripture culture kitokea n disaster
na si mamaster katika kigangster
kanisa pastor kukuchocha na chapter
ni hala hala si ucheza scene chap, chap
niko strapped up hot coffee kwa cup,cup
msupa anadai nimpige trick of how i roll it faster
eh-heh
(verse 2: linkyonwaves)
twende bali, tufike mbali
niko na duffle bag nime sunda ganji
pale kwa beach tuji tupe kwenye maji
ama ni slide nijipate huko ndani
either way me hukuwa f-ck boy
nime choma nilifaa kusema fat boy
hawa wasupa huni use kama s-x toy
big stepper me ni member wa the sauceboiz
punguza stressing love me love me
hakuna msoto kuna ganjiiii ganjiiiii
una tu hate we ni nani kwaniiiii
una tu hate we ni nani nanii
(verse 3: papizzing)
ayo baiby
nakuwazanga daily vishenzi
na lately nakuwaza nikimedi
skiza hiyo tempo ni kuu ka tembo
party iko chini haina vileo
na leo tumekuja na mambo
kirambo kanambo
papizzing ama fundi wa mitambo
masaa joh, cheza chini
cheki kanjo wanakam joh
but bado tuko ital
(verse 4: ke9)
nyambisha ki-rifle
afisa arrest me juu nili mada beat
ati, sijai rest kazi kutoa ma hits
ati, si pale date nilijizama ma wings
evening nika kuta hizi ting
na si alitaka piping nika itoa kwa jeans
ati, niwakute vitu wa confess ma sins
chafua scene joh niko missing
ati linky linky me napenda uki leti go, go, go, go
live on air rhymes nanukia ki menthos
part flow nimechafuanga dentals
niko open closed hapa unachezea deadzone
letras aleatórias
- letra de negācijas - armands & jacques of s't'a
- letra de silenzio d'amuri - l'arpeggiata
- letra de arrival - s!rius black
- letra de oración caribe - natalia lafourcade
- letra de industry fake - sani elizabeth
- letra de rest in the east - gravediggaz
- letra de lost forever - marsianin
- letra de red eye - cale charles
- letra de ista ja - milica todorović
- letra de all i want - oscar and the wolf